Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Wee best sasa kwa manara kuna mwanamke anasema ni "mume wangu" na ana maanishaaa?


Hapanaaaaa
 
chenjelaayiiiii!!!!!
weenga!
ila mwenyee baba yula ngati kuliyunga lyunga weeengaa!
Ah bwana weeee hata nee mbwiiiiitu weee!
haviii naaah , pamloooooooomooooo!
Yenyee ndoooowa hii au ligeege tuu!
gegelemahiiiii penyee apa!
weeenga!
Mlongo niheki hadi maholi gihuma.
Ne mbwitu bwanaaa.

Tumlekee na mambu gaki.

 
Haji ana mapungufu wake 5 Mimi Bado ,Yaani hakuna mwanamke anapenda kuachika jamani Tena ndoa Hata Mwaka Bado!Kwa hili nasimama na rushaiyna Kuna shida Kwa manara Hata ruby Kwa kua tu ametingwa ila hana namna,akiendelea ataondoka tu

Shida wengi tunaamini ndoa ikifa mke Ndo shida wakati hakuna mwanamke anapenda kuachika jamani,halafu na alikua anapewa maisha mazuri tu
Yaani lipo tatizo kubwa analo yule baba
Sababu alizotoa Kwa rushaina Hata Kwa naheeda alisema hizo hizoo sema TU kule kulienda kimya kimya,aliongea kwenye bday ya dada Mmoja wa mjinj(mdomo komaaa)
Kwa hili nasimama na rushaiyna mwanamke kumpa Kila kitu hakukupi Haki ya kumdhalilisha,kumtukana Wala kumdharau Kwa namna yoyote Ile,Haji anaamini Kwa kua maarufu anatreat wanawake kama chombo mashine vile
 
Sasa km unachukua wanawake ili kuonesha wee ni rijali, ili hali unajijua hata nguvu ya ku pump ndan nje huna, yeye mwenyewe kuna mtu nyuma yake na anapumua.

jamani daahhhh.kazi anayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…