Hair on men chest...

wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
Hapo naona Smile umetutukana wengi. Nadhani ni kweli kwamba akutukanaye hakuchagulii tusi!
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu

Mimi naona ambao wanazo wako karibu na sokwe zaidi kuliko binadamu, sijui ndio wanaevolve???
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu

umeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.
 
Darasa zuri sana,unajua Mungu katuumba akatutofautisha na wanyama ndiyo maana wanaume baadhi wana LOVE GARDEN. Pia kuna wanawake nao wamepewa hii kitu,wengine hadi ndevu. Mungu hana upendeleo anakupa anavyoona inafaa,kama huna usiende kwa mchina unaweza pata madhara bure.
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
Mimi hapa niko upande wako, sasa hawa ambao ni sawa na dada zao ndio full kulalama, mi zangu zinantosha ziko saizi, hazimkeri mtu na nazitunza.

umeongea pumba tupu hapa!...acha kukurupuka!.

Lishe hujenga mwili imara wenye mifupa imara, meno imara, ngozi imara, nywele nyingi na nzuri Lishe bora hujenga akili ndio maana akahusisha nywele na akili mtoto akiwa stunt/mdumavu hawi na nywele nyingi na sio nywele tu kila kitu hadi ubongo unadumaa!
 
heri umwambie kaka
huo ndo ukweli
 
Wanaume ambao ni soft soft hata ubongo wao ni soft hivohivo
Mwanaume hata ndevu hana mmmmh vilaza kweli kweli
Hata wewe unajua
Mwanaume mwenye manywele ana akili bwana
Nywele zinabebabusara za wanaume kumbuka hata Samson kwenye biblia
Kama huamini anza kuwasomaleo

Love haitegemei na nywele kifuani inategemea na jinsi mtu mwenyewe alivyo na jinsi anavyoweza kuku-care. Wewe unatutukana hapa mchumba wako anazo? Je ana ku treat vizuri? Argument zako zote hujazifanyia research unakurupuka nadhani unamlenga boyfriend wako aliyekubwaga na hakuwa nazo period. ! wenye akili tunajua mtu akikurupuka na maneno makali we know what is behind the scene.
 
ukweli ndo huo huna nywele wewe ni kilaza
 
wanaume ambao hawana ni vilaza kweli kweli in every aspect in lifeSi mnaona hatamaprofesa wazungu,wahindi waarabu full minywele full miakili
Wanaume ambao hawana nywele akili ni pungufu
Smile, Smile!! Taratibu dada, bado hujaolewa na ushaanza kuwa na conclusion za ajabu ajabu. Siku ukiingia kwenye ndoa halafu shemeji unamwona anaivua hizo nywele kwenye kifua na kuziweka kando kama meno ya bandia utafanyaje?
 
Girls wanatofautiana sana vile vile boys nao vivyo hivyo. Kuna anayependa hivyo vitu na kuna ambaye hapendi kabisa na anamwambia mwnzi wake atoe asivione. Kuna dada mmoja aliniambia anapenda sana mwanaume anayevuta sigara lakini ukiangalia wapo wengine ambao hawapendi kabisa mwanaume anayevuta sigara. Hivyo ni kitu cha kukiangalia wewe mwenyewe....
 
Back
Top Bottom