Waambie mwaya wamezidi sana hao wanaojidai wamesoma.
am trying to be flexible nakusupport dada,ukweli kuna wanawake tunazidisha yani digrii tu full mashauzi(altow sio wote)digrii ni ofcn kwako tu ukitoka we jiweke kama wengine,yan unakuta mtu kaingia salun mbwembwe nying kisa ana kidigrii anasahau kama digrii siku izi kila mtu ana digrii,inabidi tuendane na mazingira nyumbani behave to your man,ukienda uswaz ishi kiuswaz huo ndo usomi seriously wi nid to change wadada
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.
Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?
Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
Nafikiri kama mkitafakari kwa makini basi mtaelewa anacho maanisha.
Haya ngumbaru anaringia papuchu yake basi na wewe mwenye digrii mwache afaidi yatokanayo na papuchu yake.
Hata nje ya papuchu ngumbaru mimi bado nina nafasi kubwa sana ukiona fundi bomba, umeme, friji, mkata fensi, fundi mabanda usijisifu kamtafuta mumeo ngumbaru mie ambaye sina digrii hao ndio ninao fanya nao kazi na mimi ndio ninayempa mumeo awalete kwako.
Kaeni chini mjitathmini, waume zenu wanahitaji kupendwa kuthaminiwa kusaidiwa kuheshimiwa na sio kujihashua kaa kono la pweza kisa eti nimesoma.
sikujua kama papuchi ni asset kama asset nyingine! ukute labda anaweza hata kuchukulia mkopo benk kama colateral mwenzetu!
Wenye digrii wako reserved sana kwenye mambo ya 6x6.
inferiority complex @ work.
kwenye bold: wasio na digrii pia wana maringo ila wanazidiwa na wenye digrii! kazi ipo
nani kakuambia?
Da Sophy alianzia hapa
akaja hapa
akaona hamjapata somo vilivyo akatupia hii
mkamjia juu sana akona aah isiwe tabu ngoja awarudhie hiii
Wakati mnashangashanga akashusha kitu
teh teh teh leo kanona aje amalizie ni hii
Hainaga Degree!! huyu ndo da sophy bana!
Pole sana kwakutokua nayo shogangu.ulichoandika chaitwa inferiority complex.lol nakuonea huruma.degree tunazo na bado tupo fit iwapo sita kwa sita.
ngumbaru ni nini?
I see the point kwenye maneno ya b2k na da sophy,wanachosema kina ukweli wake mtaani na yanaonekana yakitendeka.
Yaani hawa wenye digrii hawa ni mzigo ambao ili uutue lazima ufike, wanadai hawana muda wa kulea ndoa lakin ndio wanaoongoza kuliwa kiboga na madereva wao ofisin. Unakuta hana muda na mume lakini dereva anayemwendesha ndio anaema mzigo kila siku, tena wakizidiwa hata wafagizi wa ofisini mwao. Sasa balaa ni pale ambapo waume zao waliosoma tunaapowakabia, tunakula nao sahani moja, na kudadadeki mie mumeo simwachi na ntampa raha zote atakazo duniani hapa na nitajitahidi kulinda heshima yake asipate mastress. Weee msomi bwia mi wine sijui mi Gin ukidai eti natoa stressHebu wapashe mpenzi nimekupendaje. Ati naringia papuchi, kwani huyo mwenye digirii papuchi lake limeng'ofolewa, si analo? Angenizidi basi, kwa kuwa ana papuchi na digirii juu, mbona sa haimsaidii? Mwenyezi Mungu alivyokuumba kwamba papuchi liko mbele lakini digirii waveshwa kichwani hakukosea, alijua matumizi yake ni tafauti. Wabweteka na digirii ambayo kwanza hata haionekani?
Hayo ni machache tu kati ya mengi ambayo ninayafanya, na ukweli utabaki kwamba mumeo angekuona wewe wa maana kwanini kaja kwa ngumbaru mie? Hamjui mapenzi, hamjui kupenda, hamjui kuthamini, hamjali mpompo tuuu kisa usomi na malaptop yenu kila siku mnapishana checkin na mumeo na kwa taarifa yako ukimwona kasafiri jua kasafiri na ngumbaru wake.Hahaha. Kwa hiyo anajisifia kuwa senior house maid wangu kwa sababu mume wangu anamtuma akalete fundi bomba, akitumiwa hela kwa mpesa anaambulia cha juu 20tau?! Ahahaha, mie sijali kama fundi bomba kaleta yeye ama kaleta fundi mzibuaji anaeitwa hamisi bin sijali. Tunashukuru kwa kusaidia waume zetu. Cha ajabu ni hayo makelele, umewekwa small house na hiyo ndo thamani yako. Si uendelee kuenjoy kuulizwa namba za mafundi hehehe.
Kweli kujitambua ni muhimu. Asante mke mwenza. Ntajithaminisha na kumpenda mume, ila tunakuhitaji. That reminds me, hii garden inahitaji manicure, paw atakupigia asubuhi tafadhali.
sasa kama papuchi ndo mtaji pekee aliopewa na wazazi wake afanyeje? Kweli usomi umetuharibu akili. Mi namshauri paw kwenye maujenzi na kununua assets na magari, yeye anajisifia ana contcts za mafundi bomba na wakata fence. Hehehe akili ndogo inapofikiria inaendesha akili kubwa tena kwa remote.
nani kakuambia?
am trying to be flexible nakusupport dada,ukweli kuna wanawake tunazidisha yani digrii tu full mashauzi(altow sio wote)digrii ni ofcn kwako tu ukitoka we jiweke kama wengine,yan unakuta mtu kaingia salun mbwembwe nying kisa ana kidigrii anasahau kama digrii siku izi kila mtu ana digrii,inabidi tuendane na mazingira nyumbani behave to your man,ukienda uswaz ishi kiuswaz huo ndo usomi seriously wi nid to change wadada