Digirii wanavishwa kichwani? How?
Ila wasokuwa nazo wanajituka ku bed
maana hata njaa zao zipo juu sana!
Digirii wanavishwa kichwani? How?
Ila wasokuwa nazo wanajituka ku bed
Ah da Sophy ..kwani vipi tena kulikoni mwenzetu?Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.
Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?
Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
ahaaa super mbeby miss u big time mzee uliipata hiiHiyo nayo kweli tupu.
ahaaa wenye papuchi zao shost ngoja nifanye kazi mie nile overtime! mi yangu haizalishi chochote..ni ziro gain down here!Hivi haiDepreciate jamani!!!!
ahaaa super mbeby miss u big time mzee uliipata hii
![]()
Ahahahah da sophy. Yaanithe only thing you are always proud of ni hiyo papuchi. Ikikatwa hiyo hauna kitu? For real? Kwa nini unapambana sana na digirii zetu? Kama mume tunashare japo wewe umewekwa kibanda umiza, kama una raha sana kuwa small hausi si uendelee kuenjoy? Kelele za nini?
Da Sophy alianzia hapa
akaja hapa
akaona hamjapata somo vilivyo akatupia hii
mkamjia juu sana akona aah isiwe tabu ngoja awarudhie hiii
Wakati mnashangashanga akashusha kitu
teh teh teh leo kanona aje amalizie ni hii
Hainaga Degree!! huyu ndo da sophy bana!
Swala sio kavurugwa ila huo ndio ukweli. Wanawake mliosoma mna maudhi sana nyie kila kitu mnakijua nyie, mume hana nafasi yake yaani nyie ndio mnataka msikike na mnaojua haki za wanawake na haki zenu kwenye ndoa.
Huwaga nawashangaa sana na kuwaonea huruma manake kumbe muda mwingine ndoa inahitaji mtu kuwa mnyenyekevu na mwenye mapenzi ya dhati.
Wee mumeo akivua kiatu kikinuka utaskia nenda kanawe miguu bwana inanuka wakati akienda kwa ngumbaru avuliwa viatu na kuoshwa miguu wafikiri kesho hata mkumbuka ngumbaru wake?
Kupika kwenyewe majanga ukiulizwa mara ya mwisho kupika msosi wa maana kwa mumeo utaskia sikumbuki, lakin akienda kwa ngumbaru wake kila siku anakutana na msosi uliopikwa na unaoliwa kwa staili tofauti, mara leo mkekani, mara leo mezani, mara leo sakafuni alimradi hazoei ama hakinai.
ukiulizwa mara ya mwisho kumpaka mumeo mafuta wala hata hukumbuki lakini kwa ngumbaru mie kila nikitoka kumkogesha nampaka mafuta, namkata akucha kwanini asining'ang'anie??
Kwataarifa yenu wanaume hata huko kubiduka sicho wanachokifwatia kwa ngumbaru ila wanafwata huduma za kimahaba, na kudekezwa, kupewa nafasi ya kupumzika kwa amani, kujaliwa na kauheshimiwa uanaume wao. Huku hakuna kumfokea ama kumwambia siwez huku kila anachokitaka anahudumiwa, utu wake kama mwanaume unathaminiwa, anaheshimiwa na bado dozi ya nguvu anapata isokuwa na mipaka
Ngoja leo nikae pembeni nione wenye digrii vs wasio na digrii wanavyotunishiana misuli...
Ajabu wote wana chumvi
ahaaa wenye papuchi zao shost ngoja nifanye kazi mie nile overtime! mi yangu haizalishi chochote..ni ziro gain down here!
super mbaby kudadadeki akikudondokea huamki mwaka!Super mbebs mkareeez Tabata relini hiyo. Majuu watasubiri sana
![]()
kwaiyo wenye digrii tulikosea kuzipata sio?Shangaa! Na ladha ni ileile halafu. Ndo hapo sasa janajike zima bila haya linaibuka hapa eti na kibanapua "oooh nina digirii mumewangu hana, ooh nininini" inahuuu! Wenzio hapa mtaani kuna wanawake wenye digirii zao mbona wamezalishwa na dereva toyo! Mambo ya maungoni yanasoma kakwambia nani? Nenda pale uhamiaji kaulize kama unafikiri natunga. Yupo bibiye kapagawishwaje na dereva toyo. Eti digirii. Mbona digirii zimesalimu amri zamani tu kwenye haya mambo.
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.