Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
Usipingane na muumba. Digirii waveshwa kichwani juu huko. Lakini mengine umewekewa mbele, mengine nyuma, kila moja kwa nafasi yake, hivyo. Sasa usitake hilo la kichwani huko unakovalia lemba, basi hilo ndio uliweke mbele halitokaa, si nafasi yake. Na pakuvalia lemba hapavaliki chengine.

A very "big" philosophy here.....
 
tehe tehe tehe wasio degree wanatupiga bao ile mbaya!! wenye degree zenu badili mwelekeo jamani vinginevyo mmevurugwa!
 
Hahhahha

While girls our age make babies


Some of us are busy with school mamaaa' geting 'Em, degrees



Nakushauri acha kukaa vibarazani na kupiga umbea

Rudi shule
 

mi hata sijui kama nina degree au sina
hahahaaaa!! Da Sophy menichekesha mie!!
wavaa majoho na makofia na wasiovaa wote chumvi
ni ile ile!!rahaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Naona umevurugwa wewe, degree na machumvi yako n vitu viwili tofaut, kwan tatizo nn best husomek?
 
Umuhimu wa digirii ni ofisini kwako tuu. Na tena ubahatike uwe na ofisi dizaini ya zenye viyoyozi za walioajiriwa, lakini kama ni zile zetu tuliojiajiri penda usipende utakujajifunza mbinu kwa waso digirii vingenevyo unapotezwa kwenye gemu. Uliza digirii wenzio. Digirii sio mali kama mnavodhani. Si tunaona watu na madigirii yao wanavyoingizwa mjini na madalali hapa? Wanaume na madigirii yao wanaingizwa kingi wanarudi hapa na hadithi za mawakili sijui polisi sijui takataka gani bado inakula kwao, ngumbaru wanapeta! Hapo nimezungumzia wanaume, sa unategemea mwanamke anayejivunia digirii kitampata nini kama si majanga tu? Mwanamke ka una digirii katambe nazo huko kwenye makongamano upigiwe makofi, lakini huku pande za kitaa ni manundu tu kwa kwenda mbele, yakikuuma sana pitia supermarket nunua wine ukanywee nyumbani ulewe ikuondoke haya ya kumpigia dereva toyo.
uwiii maweee
sisomi tena
 
hahaha....leo patachmbika hapa. Hagombelezewi mtu hapa, mi nshachora mstari, atakaevuka kwa mwenzie ngumi tano.
 
mama zangu...hii chungu, lakini dawa. Jitahdini kumeza mpone (kwa wale wagonjwa).
 
Sio kila mwanaume anataka ngumbaru awe kitega uchumi...Huu wakati wa utandawazi maisha kusaidiana sasa we na ungambaru wako unataka uuze maandazi au vitumbua?kwanza usilinganishe mapenzi/burudani/starehe na elimu...I am proud of my education!!!
 
.....heheh ati "ladha ya chumvi ni ile ile kwa alokuwa na digirii na asokuwa nayo!" 


Ingawa sijawahi kufanya kazi ya kuonja onja wine, sikubaliani na hiyo kauli swahiba wangu..lol!!

Ila kuna mahali kanikumbusha mbali sana...kuna mshikaji alikuwa anashangaa kusikia kuwa mtu mwenye cheo cha Professor naye anaweza kusaula nguo na kufanya kazi ya uumbaji...lol!!

Kuna mambo vidato na digrii kweli CVs huko??


Babu DC!!
 
.......Da Sophy Upoo!! Ila elimu muhimu bana, hata mume akichukuliwa

hakuna mtu atayeweza kuchukua elimu yako!! Upo hapooo!!


Duuuuuu,

Na wewe umeonekana kwa sababu ya Da Sophy??

Vibaya hivyo kupote/kupotezwa....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom