Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.

ulikuwa unataka wanune!!
naomba uwasomeshe watoto wako wa kike wapate degree nao waje kuanza kuringa!!
 
tukuchangie usome hata kadiploma basi

Mbona waenda mbali shutu aanze na madarasa ya QT mana czani kama ata ana qualifications za diploma shogangu huyoooo.wakati twaangaika kumkwamua mwanamke kielimu wengne awaoni umuhimu wake.kaaaaa haya wanao wakifika la saba waozeshe da sophi sawa eeeeee????
 
teh kwan digrii cku izi is still an issue?

of course, it's not an issue to those with money, 'brain' and have attended to at least good schools. you being one of them does not apply to the rest of us....teh teh teh
 

lakini mbona degree ni kitu kidogo sana bi dada...eennnh..au wewe hauna??
 
Aha ha ha ha ha!! Da Sophy ni noma, kuna mdada kitaani kwenu ana digrii mmezinguana kuhusu kidume nini ukaona uje kumalizia hasira zako hapa JF?. Ulivyotaja habari ya chumvi yaani umenifanya nimkumbuke wifi yako lol!! Subiri kwanza nimtwangie simu hapa nisikie sauti yake kidogo kisha ndo nianze kuutafuta usingizi.
Kumbe na wewe Sophy una chumvi japo huna digrii?
 



Kkkkkkkkkk umeua lol
 
Bibie kama anakuthamini sana kuliko huyo wa degree si umwambie amtoe ushike wewe usukani au weye namba mbili inakutosha sana?
 
of course, it's not an issue to those with money, 'brain' and have attended to at least good schools. you being one of them does not apply to the rest of us....teh teh teh

teh sawa i gat u
 
i will send you a very long email of my input later my gal. i have a very busy day preparing my presentation as i am travelling on monday. later this evening im hijacking my husband, paw; for a gateaway to spend the weekend (bills on me, i got them $$$ benjamins) before i ditch him for a week.
uniagize perfume basi, my treat. hizi digirii hizi hehehe. laha ndani ya loho. mangumbaru watamfaidije paw wangu wiki nzima?
love you sanaaaa:busu
ahahahhahahhahahhahha mimi love yu kwa mambo mengi!
by the way whatcha ideas on the proposal i ask ur secretary to pass?
please i do need yo inputs gal!!
 
mbaya zaidi, tuna madigirii afu na wanaume ndo tushawakaba wameingia kingi wametuwowa. sasa huna digirii, babako hana kampuni ya mabasi, una papuchi tu na weupe wa korogo? lazma uwe na #jotohasira hehehe
Ni Tanzania pekee, mtu akiwa na degree anaonekana amekosea sana, acha watu waringe na degree zao, watu wametoil ile mbaya,,,,, kulala masaa mawili kwa siku! we ni nani haswa unawaponda wenye degree tena kwa jambo ambalo hujalifanyia utafiti????
 
sio kikwazo best. ila ukiwa na digirii nyingi ina-narrow down alternatives za wanaume wanaokutongoza. they will need confidence of some kind. kama hajasoma, hayuko intelligent (manake akili na kusoma ni vitu viwili tofauti, huu ujinga wa Da Sophy hata angesoma usingemtoka, huwezi jisifia kuwekwa hawara) na hana pesa anajijua kabisaa maji yana kina haya nikae mbali. kuwa na madigirii ni kama kuajiri kwa kutumia recruitment agency, wanajichujaa cream ndo inajitokeza kwikwikwi. msirushe mawe natania banaa
Nimegundua digrii ya mwanamke ni kikwazo, kuna jinsi ku undo?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…