ana ku run wewe mwenyewe na upuuzi wakosio kiumbe cha kawaida kile kaka,ana run jf paka basi
Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu ndani na yeye anajua icho kitu kuwa anatia kichefu chefu cha moyo paka basi,mimi cwezi kumenda wala kumchukia coz ataniumiza kichwa tu,ila kaka au dada Ms big up kwa kuwasumbua vichwa humu Jf,Mia,Mx
sio kiumbe cha kawaida kile kaka,ana run jf paka basi
nimemkumbuka almaarufu dereva maralia maralia tehe tehe....Mbona Malaria Sugu mi namuona wa kawaida tu
Mpaka umwanzishie thread either anakusumbua au umemzimia.
ameisha makali siku hizi halfu MS ni mke wa mtu. kaka
mbona povu linakutoka kaka,nimekukwaza eee?basi kanywe maji hasira zipunguwe,Mx
Hakika!Wewe si malaria sugu?
Usitake sifa hapa