Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Ahahahaaaa.... Sasa ukute ndo kwanza umeingia mjini na hulitaki jina lako... kama Nyangema na 2pac.... unaanza kusisistiza kuwaa unaitwa MJ = Mwanahamis Jongo...Picha ya nini? Mtambuzi anandaa event december MWANAHAMISI HUSSEIN ALLY JONGO natinga pale LIVE!!!!!!! in HD picha inaweza kuwa ya 1920's nikiwa kijana! Bora unione LIVE mjukuu wangu.