lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Huyu Mwanahamisi Jongo ana makuu jamani? Sasa kwa kuwa amebainika inabidi aweke picha yake ya ukweli tuone anavyotisha na mkorogo wake na mat.ako yaliyopigwa pasi.
Picha ya nini? Mtambuzi anandaa event december MWANAHAMISI HUSSEIN ALLY JONGO natinga pale LIVE!!!!!!! in HD picha inaweza kuwa ya 1920's nikiwa kijana! Bora unione LIVE mjukuu wangu.
Last edited by a moderator: