Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Haya bana..
hii imezidi utani sasa mmmh!!
Hulaliii
hahah...nawe hulaliii
Mie nlilala uu mzima?
hata miye pia....ni bukheri wa afya rafiki!
Basi ni vyema ka u mzima
natumai nawe pia....
Haya siku njema na malizia weekend salama
Hali ya hewa darasalma yanishawishi rudi lala tena
Ndio mimi ni Mwanahamisi Jongo wa Mbagala KWANI VIPI MNANIDAI?????????????? Hahhaaaaaaaaaaaa! Watu WAPANA hadi mkanigoogle!!!!!!!
Ndo mie Mwanakhamisi Hussein Ally Jongo wa Mbagala Kiburugwa kuna mwenye deni na mimi?