Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Fuatilia yanayojiri kwenye usiku wa utoaji tuzo za Ballon jijini Paris, Ufaransa, leo Oktoba 30, 2023.
===Ballon d'Or ni tuzo inayoheshimika sana katika ulimwengu wa kandanda, iliyoanzishwa na jarida la France Football mnamo 1956, na Lionel Messi anatarajiwa kutwaa tuzo ya wanaume kwa mara ya nane katika maisha yake ya soka - kutokana na mchango wake mkubwa ulioleta ushindi kwa Argentina kwenye Kombe la Dunia la 2022.
Kwa sasa akiwa na tuzo saba kwa jina lake, Messi anashikilia rekodi ya kushinda Ballon d'Or nyingi zaidi.
Erling Haaland ni mmoja wapo wa tuzo zinazopendekezwa kwa wanaume, wakati Ballon d'Or kwa wanawake huenda ikapelekwa kwa mmoja wa washindi wa Kombe la Dunia la Wanawake la 2023 nchini Uhispania, huku Aitana Bonmati akionekana na wengi kama mshindi.
2. Erlig Halaand (Man City, Norway)
3. Klyan Mbappe (PSG, Ufaransa)
4. Kevin De Bruyne (Man City, Ubelgiji)
5. Rodri (Man City, Hispania)
6. Vinisious Jr (Real Madrid, Brazil)
7. Julian Alvarez (Man City, Argentina)
8. Victor Omsihen (Napoli, Nigeria)
9. Benardo Silva (Man City, Ureno)
10. Luka Modric (Real Madrid, Crotia)
11. Mohamed Salah (Liverpool & Misri)
12. Robert Lewandowski (Barcelona & Poland)
13. Yassine Bounou (Sevilla, Al Hilal & Morocco)
14. Ilkay Gundogan (Man City, Barcelona & Germany)
15. Emiliano Martinez (Aston Villa na Argentina)
16. Karim Benzema (Real Madrid & France)
17. Khvicha Kvaratskhelia (Napoli & Georgia)
18. Jude Bellingham (Real Madrid & England)
19. Harry Kane (Bayern Munich & England)
20. Lautaro Martinez (Inter Milan & Argentina)
Jude BellinghamKiungo wa Real Madrid's Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Kopa Trophy 2023 tuzo ya mchezaji bora chini ya miaka 21
Vinicius Júnior wins the Socrates Award for fighting against racism and for his hard work in education in Brazil! ✨
Real star invested almost €4m until now for his Vini Jr. Institute — an education app for poor students.
Emiliano ‘Dibu’ Martínez ameshinda tuzo ya Mlinda Mlango bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨
Erling Haaland amenyakuwa tuzo ya mshambuliaji bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨
===
Kwa sasa akiwa na tuzo saba kwa jina lake, Messi anashikilia rekodi ya kushinda Ballon d'Or nyingi zaidi.
Erling Haaland ni mmoja wapo wa tuzo zinazopendekezwa kwa wanaume, wakati Ballon d'Or kwa wanawake huenda ikapelekwa kwa mmoja wa washindi wa Kombe la Dunia la Wanawake la 2023 nchini Uhispania, huku Aitana Bonmati akionekana na wengi kama mshindi.
WASHINDI WALIOTANGAZWA HADI SASA
1. Messi (Inter Miami, Argentina)2. Erlig Halaand (Man City, Norway)
3. Klyan Mbappe (PSG, Ufaransa)
4. Kevin De Bruyne (Man City, Ubelgiji)
5. Rodri (Man City, Hispania)
6. Vinisious Jr (Real Madrid, Brazil)
7. Julian Alvarez (Man City, Argentina)
8. Victor Omsihen (Napoli, Nigeria)
9. Benardo Silva (Man City, Ureno)
10. Luka Modric (Real Madrid, Crotia)
11. Mohamed Salah (Liverpool & Misri)
12. Robert Lewandowski (Barcelona & Poland)
13. Yassine Bounou (Sevilla, Al Hilal & Morocco)
14. Ilkay Gundogan (Man City, Barcelona & Germany)
15. Emiliano Martinez (Aston Villa na Argentina)
16. Karim Benzema (Real Madrid & France)
17. Khvicha Kvaratskhelia (Napoli & Georgia)
18. Jude Bellingham (Real Madrid & England)
19. Harry Kane (Bayern Munich & England)
20. Lautaro Martinez (Inter Milan & Argentina)
Jude Bellingham
Real star invested almost €4m until now for his Vini Jr. Institute — an education app for poor students.
Emiliano ‘Dibu’ Martínez ameshinda tuzo ya Mlinda Mlango bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨
Erling Haaland amenyakuwa tuzo ya mshambuliaji bora 𝟐𝟎𝟐𝟑! ✨
Lionel Messi
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa mwaka 2023 Ballon Dior akifikisha ya 8