Afrika imewahi kuwa na mshindi mmoja tu wa Ballon d'Or, na huenda ikasubiri zaidi kuona mchezaji mwingine akifuata nyayo za George Weah baada ya orodha ya mwaka huu kutangazwa.
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane, ndio wachezaji wawili pekee kutoka Afrika...