benzema

Karim Mostafa Benzema (born 19 December 1987) is a French professional footballer who plays as a striker for Spanish club Real Madrid and the France national team. He is known for his aerial ability, workrate, playmaking and finishing.Born in Lyon, Benzema began his senior career with hometown club Olympique Lyonnais in 2005, contributing sporadically to three Ligue 1 title wins. In 2008, he was named the National Union of Professional Footballers (UNFP) Player of the Year and in the Team of the Year as he finished as the league's top goalscorer and won his fourth title and first Coupe de France. In 2009, Benzema was the subject of a then French record association football transfer when signed for Real Madrid in a transfer worth €35 million.After struggling to establish himself in his debut season, Benzema eventually reached prominence at Real Madrid and has won 13 trophies, including three La Liga titles, two Copas del Rey, and four UEFA Champions League titles, and ranks as the club's fifth all-time top goalscorer, as well as their all-time top assist provider. While at Real Madrid, Benzema has also been named French Player of the Year three times.A French international, Benzema won the 2004 UEFA European Under-17 Championship and made his senior debut for France in 2007, at age 19. He has since earned over 80 caps, including appearing and scoring in three major tournaments: the 2008 and 2012 editions of the UEFA European Championship and the 2014 FIFA World Cup. He scored his first goal in a friendly against Austria, and ranks as his nation's tenth all-time top goalscorer. Benzema was controversially left out of the squad for the 2010 World Cup, and did not play for France for 6 years after being implicated in a publicised scandal involving blackmail in 2015, before returning to the squad in time for UEFA Euro 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Karim Benzema awasilisha kesi ya kashfa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa

    Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim Brotherhood ambalo limepigwa marufuku katika Nchi kadhaa zikiwemo Misri, Urusi na Saudi Arabia. Oktoba...
  2. I

    Karim Benzema ahusishwa na kikundi cha kigaidi

    Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri. ==== Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa...
  3. M

    Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina

    Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina — France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood — MP in France wants to revoke his citizenship — A representative in France wants to withdraw his Golden Ball
  4. ryan riz

    Mo Salah kutimkia Saudia kuungana na Benzema Al-Ittihad. Hii bandu bandu hatari kumaliza gogo

    Inaweza kuwa mzaha mzaha..lakini ikaja shangaza huko mbele!!! EPL inabidi ibadilike kwenye malipo ya mishahara. Dunia sasa hivi inaonesha mabadiliko kila sehemu. Ukibaki unajiamini we ni bora siku zote na na hautaki kubadilika..kupotea ni rahisi
  5. THE FIRST BORN

    Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

    Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba...
  6. Shark

    Karim Benzema astaafu Timu ya Taifa

    Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday. The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
  7. JanguKamaJangu

    Karim Benzema akataa kurudi Qatar kujiunga na Ufaransa

    Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa fainali dhidi ya Argentina, leo Desemba 18, 2022. Inadaiwa Banzema alikasirishwa na maamuzi ya Kocha wa...
  8. JanguKamaJangu

    Karim Benzema aumia, kukosa michuano ya Kombe la Dunia 2022

    Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa. Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
  9. Ally Nassoro px

    Karim Benzema, mshindi wa Ballon d’Or ya 66 mwenye historia ya kipekee

    Baba yake alizaliwa Algeria, yeye akazaliwa Ufaransa na kukulia huko. Akajiunga na makundi ya tabia mbaya kwenye ukuaji wake kutokana na tabia za vijana wanaoishi kwenye mji wa Lyon, ila baba yake akamfanya awe mtoto mwema kwa kumpeleka kwenye mafunzo ya dini. Akaupenda mpira, kisha akaucheza...
  10. Greatest Of All Time

    Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or 2022 (Oktoba 17, 2022), Benzema ashinda Tuzo ya Ballon d’Or 2022

    Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake. Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa mwaka, mshambuliaji bora wa mwaka na tuzo ya mchezaji bora...
  11. Championship

    Lionel Messi kumpiku Karim Benzema kwenye tuzo ya Ballon d'or mwaka 2022

    Mara baada ya mechi ya jana kwenye UEFA Cup of Champions (Finalissima) wachezaji wa Argentina walionekana kumbeba Messi na kumrusha juu katikati yao. Kwa kawaida hili huwa anafanyiwa kocha wa timu kama ikitokea wamebeba kombe. Kitendo hiki kinatafsiriwa kwamba Messi ndiye aliyeibeba timu...
  12. Championship

    Ballon d'or 2022 itaenda kwa Benzema au DeBruyne au Salah

    Benzema simpendi japo kama akibeba ucl na laliga basi anaweza kuchukua. DeBruyne yeye atabeba endapo man city itabeba ucl na epl. Salah naye bado yumo na anaweza kuchukua epl na ucl. Mane naye anaweza akaleta upinzani. Kabeba afcon na anaweza kubeba epl na ucl pia. Wakikosa kabisa...
  13. D

    Benzema anachinja watu na kisu butu

    Huyu jamaa Almaaruf hapa Bongo Ustadh ni hatari sana, ni zaidi ya IS, amekua akiwapa watu maumivu sana. Wengine wanasema anatumia Mkongo! Ni hatari kwa vidudu vyote vinavyorika na vinavyotambaa. Numbisa nawale wenzako mumekata tamaa aisee
  14. tc_edo

    Benzema aitwa tena time ya Taifa

    Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita. Kocha Didier Deschamps...
Back
Top Bottom