[SIZE=3 ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.
Kabla ya ushauri kipi ulimkisea?
Hapo ndipo mnaponichosha mimi........wewe ile formula ya shake well before use uliiacha wapi......?.......umefanikiwa kunichosha sana.......
Tafuta kazi ya kando pigwa mti wa haja wewe NOTHING IS SWEETER THAN SEX sasa kama hupati hizo utamu wangoja nini hapa duniani...
haya ndo madhara ya kuolewa bila kucheki kama yaliyomo yamo!!!
au hajakupiga kitu cha 0712au 0713 pole ila jaribu kumweleza kwamba huo mtandao unatumia pia sio tu voda pekee atakuelewa maana kama umetembea na wengi hio kitu lazima ilikwanguliwa tuuu....
Ndio matatizo yanayotokana na sex before marriage.
Husband and wife always comparing with past sexual encounters, ndiyo maana people dont stop commiting adultery and marriages are not as fulfilling and a blessing as they were intended to be.
Kwa dada yangu hapo juu vumilia tu, huyo ndiyo mume wako Mungu aliyekupatia, kama ana tatizo ni vyema kumwona mtaalamu akamsaidia na sio kuanza kutafuta mchepuko, ndoa iheshimiwe, ni jambo Mungu alilibariki,
Nenda sawa na mapenzi yake, ukienda kinyume huwezi jua huenda ndio mlango unaofungua katika maisha yako shetani aweze kuingia na kukusumbua katika namna moja au nyingine
Ni hayo tu
Haya ndio matatizo ya uzinzi Mungu alipoamrisha watu wasizini alikuwa na maana yake mtu mpaka anaoa au kuolewa anakuwa ameshaziona nyuchi za watu mbali mbali mpaka siku akioa au kuolewa anaanza kufanya comparison kati ya kiungo cha mkewe/mmewe na vya wale alivyopitia....hapo ndipo ndoa inapokuwa ngumu endapo atakutana na ubora unaotofautiana na wa wale wa mwanzo.
Kimsingi ni kuwa watu wanatakiwa wasizini kabla ya ndoa ili siku akija kuoa au kuolewa ajue kiungo cha mkewe au mumewe pekee ndio kiwe cha kwanza kukifahamu kama ni bwawa mwanaume ataamini kuwa wanawake wote wapo hivyo kwa hiyo ataishi na mkewe kwa upendo...na mwanamke hata kama akimkuta mumewe ni kibamia kwenye mind yake atajua kuwa wanaume wote wapo hivyo kwani ndiye wa kwanza kumuona tangu kuzaliwa kwake.
Ni mfano wa kipofu aliyepata kuona mara moja na ghafla akakatiza ng'ombe na muda kidogo upofu ukamrudia akiamini kuwa hakuna kiumbe mkubwa kama ng'ombe kwani ndiye kiumbe aliyemuona kwa mara ya kwanza na ya mwisho.
MUNGU ANAPOTUKATAZA JAMBO SI KWAMBA HATAKI TUFAIDI BALI ANAFAHAMU KUWA LINA MADHARA MAKUBWA KWETU.
Dunia ya sasa shake well ina husika ni tofauti na zamani kwakweli .Lakini unaweza jikuta mwanamke unaidadi kubwa ya wanaume hii haipendezi
Kah! But that's too much Evelyn
Uko sawa kwa asilimia nyingi, lkn kumridhisha mwenzio ni jambo muhimu sn. Hapo ndo inaingia nafasi ya kuelekezana.
hakushake well huyu
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.
Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.
Ushauri tafadhali.