Mwambie mume wako afanye mazoezi kila siku asubuhi na jioni,ale vyakula vya asili sana sana asali,ugali wa dona,samaki wa maji chumvi kama pweza na ngisi,ale matunda ya kutosha kama matikiti na apate muda wa kutosha kupumzika
Pia afanye kumanage mapema maradhi kama pressure na kisukari
Msaidie kisaikolojia asijione yeye ndio hawezi kabisa
Both physiological and pyschological low libido problems are curable