Hafikishwi kileleni afanyeje?

Hafikishwi kileleni afanyeje?

Unaonekana tatizo liko kwako si bure ww papuch isha expire hiyo fanya urenew aargh km siamini yaani kamoja tuu alafu pindu.

Mwambie aende kwa dokta mtitu herbalist akapate ile kiloriti mwisho wa habari
 
huo sio ugonjwa mlishe vzr..halafu na wewe uwe fundi kuchezea paipu..huenda jamaa hana tatizo ila kakutana na mambo ya pumzi ndogo ruti ndefuu. kama namna hiiiiii
 
Ndio matatizo yanayotokana na sex before marriage.
Husband and wife always comparing with past sexual encounters, ndiyo maana people dont stop commiting adultery and marriages are not as fulfilling and a blessing as they were intended to be.

Kwa dada yangu hapo juu vumilia tu, huyo ndiyo mume wako Mungu aliyekupatia, kama ana tatizo ni vyema kumwona mtaalamu akamsaidia na sio kuanza kutafuta mchepuko, ndoa iheshimiwe, ni jambo Mungu alilibariki,
Nenda sawa na mapenzi yake, ukienda kinyume huwezi jua huenda ndio mlango unaofungua katika maisha yako shetani aweze kuingia na kukusumbua katika namna moja au nyingine

Ni hayo tu
 
Nakuonea huruma tu. Hukustahili kuelekezwa cha kufanya baada ya kujitumbukiza kwenye taasisi hii ya ndoa. Ndoa ni taasisi, haiwezi kushaurika tena ukiisha ingia. Haswa ka ni ya Kikristo. Ukiisha ingia dawa pekee ni kifo tu. Je, unataka tukushauri kuua? Hapana. Vumilia tu tena acha kelele nje ya mlango wenu wa chumbani. Za chumbani zibaki humo humo, mgeni ma mkwe asijue hilo.

Kuhusu ufanye nini; Sasa umeshamfahamu mwenzio, ukitaka kupona, usijaribu kumuwaza yulee wa kale tena haswa wakati upo kwenye mitikisiko ile yenu na huyu Mr wako. Huyu ndo mwenye hiyo kitu, hairuhusiwi kumuwazia mwingine tena kwani hairuhusiwi hata kuiona kwa mbali.
Hebu weka mawazo na fikara zako kwa huyu Mr.

Mpe yote mpaka ajisahau apagawe. Kweli kipo kimoja tu lakini cha kukutoa jasho. Kipo kimoja lakini hakikufikishi kwa kuwa upo mbali hapo ni tundu tu lipo mwenye tundu yuko kwa Johnnnnn kulee mwaka juzi uleee. Huu ni Ukangi kabisa. Mavi ya kale hayanuki tena?

Mfurahiye mumeo tena usithubutu kumwita "bure kabisaa" angekuwa bure ungekaa hapo? Mwandae, mvalie hata vinguo lainiiii, mshawishi mapema kabla ya usingizi wala usimpe stress za hunitoshelezi. Atakuwa chuma siku si nyingi. Kwa heri. We ulivyo hata ungekuwa jirani yangu, sikutaki kwani ulishawapa wengi na kazi yako ni kuwapima wanaume
 
Kuchoka huwa kupo tu kwa wanaume huwez jua na yy ametumika kias gan na ww kufikishwa kilelen sio mpaka vitatu hcho kimoja kinatosha sana ila kikubwa ni preparation hapo ndo wengi wanapobugi na ww usimraum yy tu je ww umefanya jitihada gani kuhakikisha mnafaidi hyo raha au unamwachaniza pke yke tu chini ya jua yote yanawezekana komaa naye tu ila ujitahidi kuwa mnajishugulisha.
 
Haya ndio matatizo ya uzinzi Mungu alipoamrisha watu wasizini alikuwa na maana yake mtu mpaka anaoa au kuolewa anakuwa ameshaziona nyuchi za watu mbali mbali mpaka siku akioa au kuolewa anaanza kufanya comparison kati ya kiungo cha mkewe/mmewe na vya wale alivyopitia....hapo ndipo ndoa inapokuwa ngumu endapo atakutana na ubora unaotofautiana na wa wale wa mwanzo.

Kimsingi ni kuwa watu wanatakiwa wasizini kabla ya ndoa ili siku akija kuoa au kuolewa ajue kiungo cha mkewe au mumewe pekee ndio kiwe cha kwanza kukifahamu kama ni bwawa mwanaume ataamini kuwa wanawake wote wapo hivyo kwa hiyo ataishi na mkewe kwa upendo...na mwanamke hata kama akimkuta mumewe ni kibamia kwenye mind yake atajua kuwa wanaume wote wapo hivyo kwani ndiye wa kwanza kumuona tangu kuzaliwa kwake.

Ni mfano wa kipofu aliyepata kuona mara moja na ghafla akakatiza ng'ombe na muda kidogo upofu ukamrudia akiamini kuwa hakuna kiumbe mkubwa kama ng'ombe kwani ndiye kiumbe aliyemuona kwa mara ya kwanza na ya mwisho.
MUNGU ANAPOTUKATAZA JAMBO SI KWAMBA HATAKI TUFAIDI BALI ANAFAHAMU KUWA LINA MADHARA MAKUBWA KWETU.
 
Sasa wewe hujaongea na mwenzako umeshakuja huku na conclude kuwa jamaa hawezi. Siri za chumbani unaleta kwenye forum?
Kuna tatizo kubwa kuliko tunalojadili haps.
 
Wewe ndio una matatizo kinachosababisha jamaa apige goli moja ni mambp mengi kuna jamaa kaweka uzi huu Femur

 
Last edited by a moderator:
Kama unatumia hiyo dawa ya putulu nakuomba uache ndugu yangu.. Utapotea ndugu yangu hiyo dawa ina madhara makubwa... Rafiki yangu alikuwa anaitumia sana hii dawa ametumia takribani miaka 3 sasa hivi ni ------- hawezi kusimamisha tena. Kama ulikuwa unaitumia nakuomba uache. Kama una matatizo ya nguvu za kiume dawa yake ni kula vzr vyakula vyenye virutubisho na kufanya mazoezi sana
umekurupuka kucomment mkuu nimetoa reference hata dawa yenyewe siifahamu ila huyo mkuu niliyomuweka hapo juu ndio alitoa thread ya kuisifia kama ungenavigate kwenye hiyo link nafikiri ungeona..........na usingecomment ulichokicomment hapa..
 
so unaomba ruhusa ya kuchepuka? endelea si ndio tabia yako....
 
Dunia ya sasa shake well ina husika ni tofauti na zamani kwakweli .Lakini unaweza jikuta mwanamke unaidadi kubwa ya wanaume hii haipendezi
 
naitwa rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni ila mume wangu ni bure kabisa maana akishafanya kimoja tu kashachoka analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje

Hiyo ndio shida ya kuanza ngono mapema kabla ya ndoa na kuwa na mahusiano na wapenzi wengi. Sio ajabu kutoridhishwa maana wakati ukiwa tendoni sio ajabu ukawa unamkumbuka mpenzi wa kale uliyempenda kulikoni wote uliokuwanao na ambayo alikuwa anakufikisha mahali.

Kwa kuwa 'Rose' anaonekana kuwa mtaalamu kulikoni mumewe, atumie uzoefu na utaalamu wake kumsaidia mumewe namna ya kumfikisha mahali anapotaka maana anajua aguswe wapi na vipi ili afikie kilele mapema.

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom