Hafikishwi kileleni afanyeje?

Hafikishwi kileleni afanyeje?

Mwenzenu nilishazoea, nikiomba mara naambiwa ngoja nilale utapata asubuhi, ikifika asubuhi naambiwa wewe umeamka basi na mie inaniamsha, siwashangai wanaochepuka.
 
Loooh!!!!Evelyne???????
Tafuta kazi ya kando pigwa mti wa haja wewe NOTHING IS SWEETER THAN SEX sasa kama hupati hizo utamu wangoja nini hapa duniani...
haya ndo madhara ya kuolewa bila kucheki kama yaliyomo yamo!!!
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

Nitafute axe nkupe mambo ujionee kilele Mwenyewe
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

pole sana rose naomba mkae chin na mumeo na umuandaliw juis ya tamgawiz itakayomfanya aweze kupiga hadi goli sita bilq kuchoka nitafute hapa kwa msaada zaid 0712505049
 
Yawezekana akawa hana tatizo ila wewe ndo mzembe zaidi kwani kutorudia tendo sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tu inaweza sababishwa na mwanamke uko sio mchangamfu pia na havutii kurudia hata uume hauna afya ya kufanya tena mara nyingine hata usafi pia wachangia
 
Hukunikwaza ila nimekusaidia ili siku nyingine uwe unasoma maudhui kamili ya comment kabla hujacomment ili usije kuaibishwa siku nyingine....mkuu...

Duh we mswahili,,,,mshkaji kakuomba samahani,,,we tena bado unamkomalia asije kuaibishwa na yepi kaka......
 
Sawa kwa uonavyo wewe lakin mwenyewe mbona tumeshaelewana....
 
pole sana rose naomba mkae chin na mumeo na umuandaliw juis ya tamgawiz itakayomfanya aweze kupiga hadi goli sita bilq kuchoka nitafute hapa kwa msaada zaid 0712505049
appoh msaada wa kutengeneza tangawizi...??
 
Last edited by a moderator:
aroo nyinyi akina mama mnajua sisi akina baba tunahitaji pia kuandaliwa?, hii kitu haisimamishwi kwa rimoti.
Niliwahi kuwa na mwanamke yeye wakat wa mechi ndio analeta kero zake zote mara aanze kunikagua, taratibu nikawa napoteza msisimko nikiwa nae,akawa analamikia sana. Kila tukiwa faragha ni ugomvi anasema ukitoka kupoozwa huko ndio unakuja kwangu. Hajui kama ndo anazid kunimalizia basi kuna siku kwa siri nikameza erecto 100mg haikusaidia. Nikajua nimekwisha, nikaamua nijaribu mechi ya nje. Sikuamini nilipiga mpaka karibu kunakucha tena nimevaa dume mdada alikuwa anajituma kila unapomgusa kilio cha mahaba huku ananihamasisha.
Dada mleta mada utamuua huyo jamaa kwa kwa hizo vega. Kumbe wewe mwenyewe ndio dawa tosha ya kumfanya awe na nguvu.
 
Human growth hormone haifanyi kazi mpendwa ilisha kua na problem hata mtoto mtakua hampati sababu izo mbegu hazina nguvu pia!!
 
Naitwa Rose nina miaka 24 nimeolewa na kijana wa miaka thelathini, kabla yake nimekuwa na wanaume tofauti tofauti ambao walikuwa wananifikisha kileleni.

Ila mume wangu hanifikishi kileleni kabisa maana anaenda raundi moja tu kashachoka, analala kweli inaniuma ametumia dawa lakini wapi amekuwa hanifikishi kabisa natamani kuchepuka, ila naona nitakuwa nimemkosea sana jamani nifanyeje.

Ushauri tafadhali.

kilele gn kibo o mawenzi
 
Niletee mimi nikuonyeshe namna ili ukampe maujuzi
 
Tafuta kazi ya kando pigwa mti wa haja wewe NOTHING IS SWEETER THAN SEX sasa kama hupati hizo utamu wangoja nini hapa duniani...
haya ndo madhara ya kuolewa bila kucheki kama yaliyomo yamo!!!
mti wa haja....kubwa, ndogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom