Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea

Kipindi mzee ametoka Central na muda wa kukaa pale ulikua unazidi kuisha ili tuhame pale, yule jamaa alikua aniamini total yan licha ya kuwa na yule mdogo wake wa kike ( niliyekua namla kibingwa ) lakini bado alikua ana mashaka na mimi me nilikua na mchora tu jinsi anavyo nichora, huyo mdogo wake nae alikua kanizimia vby mno sema tu ndo vile hakutaka kunionyesha hilo.

Nilikuwa nawaza sana ni namna gani nitampiga tukio kubwa huyo jamaa ili hata tukihama abaki kunikumbuka milele, nilitaka nimshirikishe huyo mdogo wake hilo tukio lakin niliona sio poa mambo yanaweza ni haribikia kabla cja fanikisha, ko nilikua napiga plan zangu za kimya kimya bila ya mtu kujua kasoro wadogo zangu wote niliwaambia kuwa kuna siku huyu jamaa atalia na kusaga meno.

Kumbuka kuwa zile nguo ambazo yule jamaa alizianua kwenye kamba zilibaki hapo chumban kwake ( wale ndugu zake waliziacha hawakurud nazo ) ko nilipanga nizichukue kisiri alafu ni mpige na tukio lingine.Nilivyokua napanga mipango yangu kumbe dogo langu ( yule mwizi ) alimuibia tena huyo jamaa nguo. Hicho kitendo ckukipenda kiukweli nilimzingua sana huyo dogo ckutaka ye nae awe kama mimi ( me binafsi nilikua na chuki na huyo jamaa ndo maana nili plan kabla hatujahama ni mkomeshe ajute kunijua ).....basi bna dogo nilimuonya asirudie tena kuiba bila ridhaa yangu.

Huyo jamaa alijua kuwa nguo zake nyingine zimepotea, japokua hakutuambia lakini nilikua na msikia anaongea ko alichokifanya yeye alianza kunichafulia jina kwa majirani kuwa mimi ni mwizi namuibia nguo,hela mpaka Boksa ko aliwataka majiran wawe makin na mimi.

Hizo stor niliambiwa na yule rafiki angu ( yule tulie pigana nae 2010 ) ko mimi nilicheka tu nikapuuzia ila kuna siku nilimwambia kuwa ni kweli huwa namuibia...( kuka na siri me hua siwezi jamani )...uzur huyo rafiki angu hakuwa mnafki ko alikaa kimya.

Baada ya huyo jamaa kunichafulia jna aliamua amletee mdogo wake mwingine wa kiume ( yaani ni kama alikodi mercenary kuja kunikomoa maana siri zake zote nilikua naambiwa na mdogo wake wa kike )...huyo mdogo wake wa kiume ni mkubwa kwangu alafu ni bonge.

Alivyokuja huyo mgeni ckupenda niliona kanizibia ridhiki yangu kabisa maana hata kupata show za mdogo wake wa kike ilikua ni tabu kidogo.

Alivyokuja sasa eti akaweka urafiki na mimi ili anipeleleze kumbe me nilimsanukia kitambo nikawaambia madogo wawe makini na huyo bonge sio mtu mzuri.Tulikua washkaj wakinafki me na huyo bonge maana c nilikuwa najua lengo lake ko niliamua kwenda nae ivo ivo anavyotaka mziki wangu alikua haujui.siku moja alikua gheto langu mchana mchana kuleta uongo wake kumbe lengo lake alikua apeleleze kama kuna nguo zao mule gheto, taarifa nilipewa na huyo mdogo wao wa kike alini text, ko nilificha zile nguo ambazo yule dogo aliiba likajaa lika peleleza weeeeeeh....mpk likachoka likasepa zake.

Nilisema huyu jamaa kazid dharau sasa nitamfanya kitu kibaya sana, siku hyo tulipokea mgeni ( shangazi yetu wa ukoo ) alikuja nae nikamuona ni kikwazo maana ni muongo muongo na yeye.siku moja asubuhi sana niliamka kwenda kukojoa cjui nini kilinambia niingie chumban kwa mzee kabatini ( kabat la ukutani ) c nikakuta kitu kama furushi hivi kuligusa naona ni mwili wa binadamu, niliogopa asee maswali yakawa mengi ni nin hicho kumbe ni dogo langu ( yule mwizi ).

Kumbe bna dogo alikua aendi shule hapo ndo nilijua kuwa dogo shuleni ana karibia miez kibao hajakanyaga, hua ana mvizia mzee akishaondoka tu yeye anaingia kabatin anajifunika lishuka anakuwa kama furushi.nilimwambia mbona anataka kuleta balaa nilimwambia kwanini asisome au anataka kuwa kama mimi niliye chezea shule akaseema hamna hataki kuwa mimi nilimuonya akakubali kwenda shule lakin kwa siku ilikuwa inafuata sio hyo siku.

Wakat nimemaliza kumkanya dogo alinambia kuwa kuna mzigo upo chumba cha jamaa 3 million.Nilimwambia sema kweli, akanihakikishia kabisa kuwa aliwasikia wanaongea huyo jamaa na huyo Bonge ( mdogo wake ).....nilifurahi sana nikaona kuwa hii siku lazima kwa namna yoyote ile lazima ni wachukilie 300k...ko nilipiga mipango yangu jinsi gan nitafanikisha hilo tukio.

Huyo bonge alikua ni kikwazo kikubwa sana bora hata yule dogo lao la kike alikua hanitishi hata,

Siku hyo nilimuomba game huyo dogo lao akani bania kuwa anamuogopa bonge...nilimtukana kimaksudi tu hadi akakubali kuja nimgonge midaa ya jioni, nilipanga siku niwaingilie usiku wakiwa wamelala huyo bonge na kaka ake.

Bahat nzur huyo bro wao kumbe cku hyo alienda Rorya ( ujombani kwao ) kupeleka hela ya ujenzi me stor zote alikua ananipa mdogo wao ( wa kike ) ko niliona huo ni ushindi kwangu.

Usiku ilifika hapo sasa nimesha mgonga huyo manzi jioni yake najiskia mwepesi nasubir huyo bonge alale niingie ni chukue 300k zangu nisepe zangu.

Ilifika saa 7 usiku nikaamka zangu nikachukua kisu cha mboga nikakiweka kiunoni kwa ajili ya lolote litakalo tokea, nilibeba na zile funguo zangu nikatoka kwenda kwenye mlango wa chumba cha huyo bonge ( alikua analala na huyk bro wake alafu mdogo wao wa kike analala chumba cha wazazi ).

nilienda mpk kwenye mlango wake nikasimama kwanza nikaanza kuwaza ni namna gan nitaingia ndani.saut za kukoroma tu ndo zilikua zinasikika kutoka chumba cha huyo bonge na chumba cha Mzee wangu aisee hawa watu wanakoroma utadhani ni zile mashine za kusaga mawe nilitumia huo mkoromo wao kama faida.

Niliingia chooni nika flash maji sasa zile kelele za yale maji ndo nikatumia kufungua ule mlango wa chumba cha jamaa bonge alipolala.

Nilifanikiwa inshu ikawa ni kuingia nikamilishe jukumu langu.niliingia kwa kunyata sana mule chumbani.Bonge yeye alikua hana hata habare ka kuna mtu ndani.

Nilimsogelea pale kitandani mtu bado hana habar na mimi kukoroma tu ndo usiseme,

nilivyoona bonge hajiwezi kwa usingiz nilienda mpaka kwenye droo nikafungua nikachukua lile briefcase nikatoka nalo mpk chooni kuangalia kama kuna pesa, siku kuta hela nyingi sana na hata zile 3 million hazikuepo. nilichukia sana, nilichukukua zile hela na kondomu nilizozikut ta kwenye briefcase.

Kama nilivyoingia na ndo nilivyo toka humo chumban na hela kidogo pamoja na kondomu.

Kesho kama vile cjui nilichokifanya maana nilichukua 120k tu ndo niliikuta.

Bonge hakuwa anaelewa nini nmemfanya usiku ila walishtukia lakin sema tu ushahid ndo ilikua shida

Nitarejea tena jamaani mambo bado ni mabichi mno
Noma sana aiseeeeeeee
 
Niliingia chooni nika flash maji sasa zile kelele za yale maji ndo nikatumia kufungua ule mlango wa chumba cha jamaa bonge alipolala.

Nilifanikiwa inshu ikawa ni kuingia nikamilishe jukumu langu.niliingia kwa kunyata sana mule chumbani.Bonge yeye alikua hana hata habare ka kuna mtu ndani.

Nilimsogelea pale kitandani mtu bado hana habar na mimi kukoroma tu ndo usiseme,

nilivyoona bonge hajiwezi kwa usingiz nilienda mpaka kwenye droo nikafungua nikachukua lile briefcase nikatoka nalo mpk chooni kuangalia kama kuna pesa, siku kuta hela nyingi sana na hata zile 3 million hazikuepo. nilichukia sana, nilichukukua zile hela na kondomu nilizozikut ta kwenye briefcase.
wewe ni jambazi by professional kabisaaaaaa..
 
Inaendelea

Shangaz yangu huyo alie kuja hapo home alikua ni mnaa sana yaan alikua anajipendekeza sana kwa huyo jamaa ( mtoto wa mwnye nyumba ) eti alianza kunipeleleza nilikua na mchora tu na mambo yake hayo mabovu, kuna siku aliniita kunishaur niachie tabia zangu za wizi nilimjibu shit japokua ni shangaz ckujali....tena nilimsachi begi lake kipind ameenda kuoga ckukuta cha maana nikamchukulia bandana yake ( kitambaa cha mkononi ) maana ndo niliona cha maana.

Kanisani napo nilikua siachi kwenda tena kama zoez la kwaya nilikua sikosi ( napenda sana kuimba )....lakin licha ya kusali bado nilikua naendelea na mishe zangu japokua bangi na ndugu zake nilikua situmii kabisa na hata yule Manz angu wa kwanza kabisa nilipunguza mazoea nae maana nilikua na chombo home najilia nikitaka.

Kukaa idle napo ni kubaya sana yaan nilikua nilipunguza urafiki na vijana walio kuwa wako chuo niliwaona ni tatizo kwangu kuna mmoja alikua akija home nikujisifia tu elimu yake na kuniona me sina maana kisa tu me siko chuo.Nilimpiga marufuku asije home kabisa.

ni cheke kwanza mdogo wangu wakike bna yeye ni muongo balaa asickie jambo lazima alilete alafu ana mikwara hatar yaani na umri wake mdogo lakin ulikua ukiona mtu anae mpiga mkwara utabaki kucheka tu.

Zamani kipind ndo nime risiti mtihan wa form four sasa kwenye kituo chetu tulichofanyia mtihani tuliji organize tufanye kasherehe, alafu me ndo nilikua mtunza hela wao, sasa bna tulikua tushatoa 72k kwa ajili ya hyo sherehe sasa kipindi bado naendelea kukusanya hela wadau walizingua kufanya hyo sherehe ko ikawa imehairishwa,ikabid kwa walio kwisha toa hela wachukue hela zao.

Kwa vile hela nilikua nazitunza mimi ilibid waje wazifate home na mwenyekit wa kamati awape wenye nazo.

Ilikua jumapili nakumbuka nilimpigia simu mwenyekit wa kamat aje achukue hela home, nilikua chumbani nazihakikisha kama zipo zote, kumbe huyo mdogo wangu alikua ana nichungulia kwenye vitobo vya mlango.

Na cku hyo alinijua kuninyong' onyesha asee...hela nilizirudisha chini ya godoro zilikua kwenye kaunta book yenye majina ya walio changa, nilitoka tu dogo aliingia akachukua hela zote akasepa nazo .

Ile naongea na mwenyeekit kumuulizia kafika wapi akanambia yupo tanesco anakuja kwa pikipiki.

nikasema nizitoe hela ili niende kumkabidhi jamaa barabarani, lahuuuula pesa zilikua hazipo nilichanganyikiwa asee.....yaan nilitafuta mpaka chooni...nilimuuliza madogo ikiwa na huyo wa kike walisema hawajui...nilimuhis hyo wa kike maana ndo ilikua tabia yake kutuweka roho juu lakin jinsi alivyokataa nikawa sina namna kwa kweli.

nilianza kutunga uongo wa kusema lakin ukanikosa na mwenyekit nae alizid kukarbia kufika tulipokubaliana kukutana.

Nilizima simu ili nisipatikane nikawaambie madogo pamoja na sister kuwa kama mtu akija niulizia waseme siishi hapo.niliingia chumban nikafunga mlango nikawa nawaza hela zimeenda wapi nilianza kuwa shuku washkaji zangu fulani hivi sema ndo ckua na ushahid zaid ya kukisia tu.

Niliamua nilale ili nipunguze mawazo ndo dogo alivyoona kuwa lengo lake la kuniona nime nyong' onyea kutimia ndo akaja kugonga mlango akanipa hizo huku ananicheka sana....nilishindwa hata kumpiga nikabaki nacheka na mimi moyoni nikisema umeniweza leo.

Niliwasha simu chapu nikakuta text za mwenyekiti nikampigia nikamwambia simu ilikua imezima charge ko nilimtaka aje home badala ya kukutana barabarani.

Kweli dogo aliniweza cku hyo ukiachana ukorofi wake alio kuwa akiwafanyia majirani, yaani kuna siku pia aliweka chumvi kwenye maji ya ugali sister bila kujua alipika bila kujua.Ugali tulimwaga yeye kama kawaida yake alibaki anacheka tu.jiran yetu mmoja nae aliwekewa chumvi kwenye maji ya ugali walimuona na watoto wenzie lakin alivyokataa kuwa sio yeye mpk huyo jiran aliomba msamaha...cc tulijua tu ni yeye lakin tukakaushs maana hyo tabia tuliijua ni yake.

Nimeamua kumwelezea huyu dogo langu kwa sababu alikua ananiokoa sana kunipa taarifa za jamaa ( mtoto wa mwenye nyumba )

Shangazi yeye alichoka mwenyewe kutoa info za uongo huyo jamaa mpaka akasepa kurud kwa mume wake huko.

nitarud tena.
 
Hii familia inahitaji maombi,mdogo wako nae ana matukio
 
Nilinyata kwa umaridadi mkubwa ili hatua zangu hata me mwenyewe nisickie.Nikafika kwenye pensi yake niliichukuua nzimanzima mpka chooni, nikatoa wallet yake nikachukua 43k nikairudisha ilipokua nikarud zangu kulala lakinhela niliificha chini ya Sofa kubwa ili kusikilizia muziki utaendaje kukikucha.

Kesho kulivyokucha nilikua namuona anaikagua wallet yake kama haamin Amini hivi, hakunisemesha ila nahisi alijua nimemfanyia umafia sema tu hakua na uhakika.Siku hiyo hiyo niliona mtu anachukua Begi lake na kurud alipokuwa
😆😆😆😆😆

Nimecheka hatari
 
Back
Top Bottom