Poapoa mzee baba jambaz mstaafhabarini tena humu poleni sana kwa kuwaweka sana ila ni kutokana me kupata msiba...tunazika kesho hope tukishazika nitakua free kuendeleza hii story
Asanteni sana![]()
habarini tena humu poleni sana kwa kuwaweka sana ila ni kutokana me kupata msiba...tunazika kesho hope tukishazika nitakua free kuendeleza hii story
Asanteni sana![]()
Tunakusubiri mzeewhabarini tena humu poleni sana kwa kuwaweka sana ila ni kutokana me kupata msiba...tunazika kesho hope tukishazika nitakua free kuendeleza hii story
Asanteni sana![]()
Karibu sana mkuu.habarini tena humu poleni sana kwa kuwaweka sana ila ni kutokana me kupata msiba...tunazika kesho hope tukishazika nitakua free kuendeleza hii story
Asanteni sana 🙏🏻🙏🏻
Ndio nashukuru Mungu nimezika salama mwendelezo baadae kidogo nitaueka humuMkuu holy holm tunaimani umezika salama,bdo tunakusubiri mkuu wetu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Karibu mkuuHabarini tena humu ndani ni matumaini yangu mko vizuri, licha ya changamoto tunazozipata lakini bado Mungu anatupigania.
Rest in Peace Rais Magufuli umeondoka ghafla sana licha mimi kuwa mpinzani lakini nilipenda kuona unamaliza muhula wako wa pili, lakini ya Mungu mengi tuzidi kupendana.
Inaendelea
Wakati bado tunasubiria muda wa kuhama pale ufike tabia yangu ya wizi ilikua bado inaendelea japo ilikua sio mara kwa mara lakin nilikua nikipata chance lazima nipige tukio.
Mzee wangu kuna msala aliupata nadhani hatokuja kuhusahau,
Mzee nae alikua ni mtu wa madili sana kufoj nyaraka za serikal ilikua ni zake ( moderator's naomba mnilinde hapa na wakuda )....madili alikua anayapiga sana tena mengine kama hayupo me ndo nilikua nayamaliza kiaina ( kwa maelekezo yake ).
kuna siku moja miaka ya nyuma kidogo alienda semina Dodoma, siku hyo alinipigia na akaniagiza niende kwa mtu fulani hivi hata cmjui ( huyo mtu ni mtumishi wa Manispa )...cku alinipigia simu akanambia niende sehemu fulani kukutana na huyo mtu kuna mzigo atanipa alafu tena akanambia nikimaliza hapo niende tena sehemu fulani kwa mtu mwingine nimkabidhi huo mzigo kisha nitasaini then nichukue pesa alafu hizo hela nichukue 20k nyingine nimpe Mama atunze.
Siku hyo nilifanya hicho kitu nikiwa naogopa maana mzee alinambia niwe makini sana maana nikishikwa ni hatar kwake.Alinambia kuwa ananiamini sana ndo maana kanituma, kweli hiyo mishe yake nilimfanyia vizur sana alinisifu cku hyo ko ikawa akiwa hayupo mishe zake me ndo namaliza. kuna siku walikuja wanajeshi na gari ( teksi ) niliogopa nikajua wana mtaka mzee ( mzee cku hyo alikua amesafiri kikazi ).....waliniuliza mzee yupo wapi nikawadanganya.wakaondoka baadae tena wakarudi wakanipa simu niongee kumbe alikua ni mzee, alinipa maelekezo kumbe walikua wanataka mzee awafanyie mchongo.Basi nilipewa maelekezo na mzee nikamalizana nao wakaniachia hela wakasepa zao.
Basi bana c mnajua tena kipindi cha magufuli Wakuu wa mikoa na wilaya walikua wanafanya kazi kwa mihemko ili tu wamfurahishe boss wao ( r.i.p Magufuli )....Huo nao naona ulikua mwisho wa shughuli za mzee wangu.
Ilikua ni usiku kama saa mbili hivi niko home me na wadogo zangu tunaona movie..tulisikia boda inakuja, tulijua ni Mzee na kweli alkua ni yeye alipitilizia mpk chumbani kwake akaniita nikaenda chumban kwake alinambia tu kimenuka ( cku mwelewa kwa wakati huo ) alichukua baadh ya vifaa vyake vya kazi akanambia nikavichome alafu yeye akaondoka tena na ile boda iliyomleta.
Baadae kidogo akaja Mama mmoja na Baba mmoja hivi wakagonga mlango niliwafungulia wakaniita mimi nje waongee na mimi.Nilipatwa na hofu maana nilijua tu kuna kitu kibaya kimetokea. ( nilikuwa nafikiri ni ajali )
Walinambia kuwa Mzee wangu kakamatwa yupo Central kwa amri ya Mkuu wa wilaya.Hapo nilijua tu mishe zake zimejulikana, niliwapigia simu ndugu ikiwemo Mama nikawapa hyo taarifa kesho yake ndugu walikua wanapishana tu nyumbani maana kesi ya Mzee ilkua ni Kubwa mkuu wa wilaya kachachamaa vby mno.
Dhamana alinyimwa maana kesi yake ilikua ni nzito kidogo mkuu wa wilaya aligoma wasimpe dhamana kwanza.Bahat nzur walio mshtaki walikua hawana uhakika na wanacho mshtakia mzee.Kumbe Dc nae alipewa taarifa na waongo kuwa mzee anafanya mishe sio halali nae akakurupuka tu kumkamata bila ushahidi wa kutosha.
Alikaa Central kama cku tatu hivi wakaamua kuja kumkagua mzee nyumban kwake waone kama watapata ushahid wa kumpeleka mahakamani.Sikumbuki ilikua ni juma ngapi siku hyo ila ilikua ni kama zali me kwenda kituoni police kumpelekea msosi Mzee.
Yani ile nafika Central tu na msosi nakuta mzee mzee nae wanamtoa Central ili wakamkague kwake.Aliniongelesha kwa saut ya chini sana kuwa niwai home nitoe vitu vyake ambavyo vinaweza kuwani ushahidi.
Nilivyoambiwa tu hivyo nilifanya mchakato wa kurud nyumbani upesi ilinimuokoe Mzee kwenye balaa lake.Japo mzee na baadhi ya maaskari wa upepelezi walikua na gari nilitumia dakika chache sana kufika ingawa niliwakuta wameshafika walikua wapo tayar sebuleni wanamsubir mwenyekiti wa mtaa ili waanze kazi yao ya upelelezi.
Niliingia chumbani kwa mzee kwa siri nikatoa vitu vyote ambavyo nilikua najua vitamletea shida.Dakika 3 zilinitosha kutoa vitu vyote nilivyokua najua vina shida.ile namaliza tu kutoa mara mwenyekiti akawa kashakuja ko zoezi lilianza mara moja.
Hawakupata cha maana sana tu walivurugua sana nguo na vitu, alafu wakarudi na mzee Central kesi ilikua bado ngumu.walikbali kumpa dhamana baada kukaa wiki nzima.walitakaa tutoe 1 million ili kusud aweze kuachiwa huru.
Hela ilichangwa na wandugu hususan Mama angu me pia nilimuibia yule jamaa 100k nikaitoa ili mzee aweze kutoka ndani ma kweli alitoka ndani baada ya pesa kukamlika.
Mzee alivyotoka aliapa kabisa kuwa hiyo michezo ameacha kabisa ko watu walikua wakija anawarusha, alafu me pia nilifurahi kusikia hivyo.
Maisha yaliendelea na kuna siku alikuja pale mdogo wake yule jamaa ( mtoto wa mwenye nyumba ) ni wa kiume alafu bonge la mtu ( mnene kama Msechu ) ko huyo mgeni alie kuja niliona ni kama kikwazo kwangu mwenye shughuli zangu.
Nitarud tena kusimulia.
msechuHabarini tena humu ndani ni matumaini yangu mko vizuri, licha ya changamoto tunazozipata lakini bado Mungu anatupigania.

Noma sana mkuuuuuuuuuuuuHabarini tena humu ndani ni matumaini yangu mko vizuri, licha ya changamoto tunazozipata lakini bado Mungu anatupigania.

Plus mazaKumbe harakati zako ulirithi Kwa Mzee wako Bablai..

ko aliwataka majiran wawe makin na mimi.

nilitumia huo mkoromo wao kama faida.