Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*
Pole Sana holy Holm kwa msiba Mungu awape faraja la kipekee ndg jamaa na marafiki pole Sana

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*🙏🏻
Mkuu pole sana, Mungu ampe pumziko la milele ndugu yako
 
Inaendelea

Wakati tunasubiria muda wa kuhama ufike, nilikua nimetulia tu yaani niko home siingi tena kuiba nipo tu sana nilichokua nafaidi ni kumgonga yule mdada ( ndugu yake na jamaa )...Maana home nilikua na baki mimi madogo wapo skuli, tulifanya ni jojo aisee na yule mdada alikua ana bwana ake ( alinambia ana mchumba wake )....

Niwarudishe nyuma kidogo kabla cjaendelea mbele kusimulia.

2017nahis kati ya mwezi wa 4 au 5 kuna mkutano wa Atape ( Mambo ya Ujasiriamali ) ulifanyika katika ukumbi wa Mcc saiv ni Open University, basi ilikua ni kila kanisa litoe watu wawili na zaid kwa ajili ya kuwakilisha kanisa.

Kanisani kwangu walichagua watu wa wawili wa kuweza kuhudhuria huo mkutano ( Mkutano ulikua ni mkubwa sana ), watu walio chaguliwa ni alikua jamaa fulani na Mama mmoja.

Huyo jamaa alikubali lakin baadae akatoa udhuru basi huyo Mama akanipendekeza mimi nikawakilishe Kanisa ( wahumini walicheka kusika mimi nimetajwa )...basi nilikubari kwenda ( mimi ni nani hadi nikatae kazi ya BWANA ).

Mkutano ulikua unaanza jumapili na ulikua ni wa siku 4 ( kama sijakosea ),huu mkutano niliufananisha na KAMATA FURSA TWENDE ZETU wa CLOUDS Fm, maana nilyoyakuta ni mambo ya fursa.

Mkutano pia ulikua na kiingilio ( 60k ) kwa kila mmoja, kanisa lilitakiwa kutulipia hyo heka ambayo walinambia watanipa jumapili ya mkutano, huyo Mama yeye alijilipia maana ana hela sana.

Jumapili ilifika nikaenda mkutanoni, watu walikua ni wengi wamekuja kupata madini kutoka kwa watu mbalimbali walio alikwa ( motivation speaker hawakukosa )...nilifika lakin hela ya kiingilio nilikua cjapewa bado ko nilisubir lakin sikupewa ila kuingia ndan niliingia na nikawasikiliza hao ma motivator wanavyo rahisisha maisha kwa hesabu zao za kichwani.

Kesho nilirudi tena nikakutana na yule Mama tuliyo teuliwa nae kuwakilisha kanisa, aliniita na kuniomba samahani kwa kutokuja jana ( kumbe yeye ndo alipewa ile hela anipe )..nilimwambia asijali, basi akanipa zile hela na kunielekeza sehemu ya kuzipeleka.

Aisee nilipeewa hyo 60k ya kiingilio pamoja na 30k kwa ajili ya msosi wa siku zote za mkutano, nilimpelekea huyo cjui ndo alikua muhazini lakin naona alikua bize alafu na alikua anaringa, nampa hela ananambia nisubir bado ana kazi ( na huku hata hana kazi, nikasema sitoi hela na kuingia ndan nitaingia, maana jana c niliingia fresh tu niliona kanisaidia maisha )...nilienda stationary nikanunua note book, na pen nikarud mkutanoni nilimuona jamaa mmoja kaweka kitambulisho kwenye mfuko wa nyuma wa jeans na hana hata habari kama nipo...watu walikua wengi basi katika ile movement nilikichukua kitambulisho chakee ( uzur vilikua havina picha wala majina ) bila ya yeye kujua, nikasema hapa kazi nimemaliza.

Niliingia mkutanoni nilikuta vipindi vishaanza na ulikua ni muda wa ushuhuda wa wajasiriamali n.k

Hapo mdo nilichoka na shuhuda za watu ( motivation speaker ) mara nilianza na robo heka saiv na hakari 200 za mashamba ya mapapai, mara cjui nilianza kuuza karanga baada ya kuuza smartphone yangu now nina kampuni na blah blah nyingine kibao.nilikua naona sielewi kitu naandika vipoint kwa vile tu ilikua lazima nikaelezee kanisa nini nimejifunza na mimi niwafundishe.

Kesho yake tena nilienda mkutanoni siku hyo kweli fursa ilinijia yenyewe ko niliitumia kisawasawa.Kuna Jamaa mmoja cmjui na alikua hanijui, aliniita tu dogo njoo nikupe kazi.

Kazi ilikua ni muuzie cd za ma motivation speaker basi nilikubali maana alisema jioni ataniachia chochote kile. Nilimuuliza cd zipo ngap alikua hajui zipo ngapi ( alikisia tu ) basi nikasema fursa hiyo acha niikalie

Mchana walikuja Jamaa wawili ( mmoja ni teacher wangu wa piano ) mpk kwenye meza niliyokuepo tukawa tupo watatu, niliona wao ni kama vikwazo kwangu.Sikujali walikua wanashangaa tu jinsi navyouza, nikiuza cd moja hela naweka mfuko wa pembeni na nikiuza ya pili hela naweka mfuko mwingine, waliuliza vipi wewe jamaa, niliwaambia bila kupepesa macho. wangefanyaje sasa na huku wananijuaga nikiudhika.

Jioni ilifika muda wa kutawanyika jamaa mwenye cd akaja nikampa hela za mauzo huku nikiwa na wasi wasi kama jamaa lbda alkua ananitega lakin alihesaby hela na kunipa 20k ya soda akanambia kesho napo nimuuizie ckupinga ( me ni nani nikatae kazi ).

Hiyo 20k niliwapa hao washkaji zangu wakanunue vocha, nilifika home nikahesabu zile hela za mfuko wa pembeni nikakuta 55k ( cd mmoja ilikua ni sh 5k ).

Kesho ilifika nikaenda mkutanoni kama kawa wale jamaa nilio wapa ile 20k walini text wakanambia niwaelekeze mahali nilipo nikawambia kuwa nipo pale pa jana, walikuja nika kaa nao tukawa tunapiga stor, mara akaja yule jamaa wa cd kama kawaida na cd akanipa nianze kuuza.Cku hyo nilipiga pesa chafu, niliwagawia wale jamaa maana wao ndo nilikua nawapa wanitunzie.

Kufupisha habar ni kuwa niliamua kutumia fursa kwenye watoa fursa jamaa huyo wa cd nilimdharau sana maana niliona hayuko serious na biashara yake, pilika pilika zake zilikua ni faida kwangu.

Mkutano ulivyoisha sasa muda wa ku represent kile nilichokipata huko nilitumia tu vipoint vile vichache nilivyo viandika yule Mama ndo alikua mwokozi wangu maana yeye ndo alikua anaongea sana kuliko mimi.

Washiriki walitupa Amina na maisha yaliendelea ikabaki ni siri yangu na wale jamaa.

Mungu anisamehe tena kwa hili tukio

Nitarudi tena.
Daaaah kweli we n dude

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Twend
 
*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*🙏🏻

Pole kwa msiba Mkuu

Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu.

Pole Sana.
 
*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*
pole sana kwa Msiba jamani tumchangie japo Rambirambi ndugu yetu
 
*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*
Pole kiongozi
 
Chapter { II }

Baada kufanya shopping zetu basi tuliamua kulekea shuleni akili zenu zilisahau kuwa tuna msala tumeufanya huko nyuma ( labda sababu ya utoto pengine ) ile tunafika darasani tunaambiwa na monta tunahitajika osifi ya mwalimu mkuu ( mwalimu mkuu alikua anaitwa Meshack alikua ni mkali kingese R.I.P kwake) kwanza tuliambizana twende ama tutoroke maana tulikua tunajua kuwa ni kwa sababu tumechelewa kuja shule ilikua ni saa sita muda huo. Tulikubaliana kwenda ili hata kama ni kupigwa viboko tupigwe tu tumalize msala kabisa aisee ile tunaingia ofisini tunamkuta yule mama akiwa na vijana wawili mmoja alikua ni kijana wake.Mlango ulifungwa tumebaki hatujui tufanye nini wale vijana wakawatudaka kila mtu na mtu wake me nilishikwa na mtoto wa huyo Mama.Huyo kumbe baada ya sisi kukimbia alienda moja kwa moja shuleni akijua tu atatupata.

Mwalimu mkuu alitwambia tutoe hela tulizoiba jamaa angu akasema hatujaiba me muda huo nilkua nalia tu kitendo cha kusema hatujaiba kilikua ni kibaya tulipigwa bakora sio za nchii yule Mama akadai atupeleke polisi lakini yule ticha alikataa akisema tuyamalizie hapo hapo shuleni lakini alikataa maana jamaa alishikilia msimamo kuwa hatujaiba.Basi ticha big alikubaliana na yule mama tukafungwa mashati kwa pamoja ili tusikimbie akaitwa mwalimu wa nidhamu tukapelekwa kituo cha polisi Kitaji.

Tulivyofika kituoni (maana ilkua sio mbali sana na hyo shule tulienda kwa miguu tu ) Kwanza maafande walikua wanatushangaa labda hawakutegemea sana ujio wetu tulikua makid sana.kabla hatujaingia ndani ya kituo kuna afande alitulaki pale nje na maswali kibao kuwa tumefanya kosa gani yule mama alieleza kila kitu lakin yule afande alikataa kutupokea kisa sisi ni wanafunzi alicho kifanya alituoji kama kweli tumechukua hela me wakati huo ni kilio tu nikiwaza wazazi wangu wakipata taarifa itakuaje siku hyo.Yule afande alitusachi akatukuta na baadhi ya hela ko akamulu tufunguliwe yale mashati kisha viboko vikafuta tulipigwa viboko kumi kila mtu ukijumlisha na vile tulivyopigwa shule hayo maumivu yasikie tu.

Tulitoka pale kituoni kwenye midaa ya saa nane hivi wanafunzi walikua wameshatawanyika tukaamua twende moja kwa moja home ile tunakaribia na home tukakutana na Mama ake na huyo rafiki angu alicho kifanya alinivua ile saa nilikuwa nimenunua akachkua vile vitu vingine akatwambia tumfuate kufupisha habari ni kwamba tulichezea kichapo cha mbwa koko maana kumbe taarifa alikua ameshaipata tulinyimwa na chakula cha mchana siku hyo ilikua mbaya sana kwetu.

Mzee nae alivyokuja usiku alitugongesha kichapo kikali tena cha kikatili maana alitumwagia maji mwili mzima huku akitupiga na waya wa umeme siku hiyo sitohisahau kwa kweli. Mama angu yeye akutukugusa kabisa alikua ananihurumia tu kuona mwanae navyopigwa mpk alilia .Tulikaa nyumbani siku tatu tukiuguza vijeraha plus maumivu Baada ya hapo skuli ikaendelea ( yule mama alilipwa hela na Mzee wangu).

Baada ya kupata huo msala ndo kwanza tabia yetu haikukoma ndo kama vile waliichochea.maana tulikua tunaiba kwa akili sana hivi vitu vidogodogo kama viatu,hela,vyuma chakavu n.k.Nakumbuka pale stendi wale machinga tume wacheza sana bidhaa zao.

Kesho nitarudi kuendelea.
Kumbe wewe ni mwizi by profession
 
*Habarini ndugu zangu, siku ya leo imekua ni mbaya kwangu na hata kwa taifa.Leo asubui nimepokea taarifa ya msiba wa Kaka angu ( wa ukoo ), kafariki Arusha kwa tatizo la upumuuaji.

Mniwie radhi nimalize msiba ili niendelee kuleta story yangu.

R.I.P Mr President

R.I.P My dear brother*
Pole mkuu, tunakusubiri kwa hamu
 
Back
Top Bottom