Hizo area anazosema ni nzur kwakweli...yaan mm naendaga nakaa wiki nikiamka naona maji ..yaan kuzuriii..unataman kuhamia mazimaKweli mganga hajigangi ukaogopa kaswende na dawa unazo...ila umenichekesha sana ulivoweka begi mapajani asione ulivokiwasha... Ila hiyo tour ilikua babkubwa navuta picha kama sio bongo yan ni mwendo wa boat na mitumbwi tu
Mkuu saa moja hii twende tukajenge nchi utasoma jion au unatoka lindo?MKUU WEKA NONDO WEKA NONDO NASHINDWA KULALA BILA KUSOMA NYUZI YAKO.
mKUU ndani ya hii awamu ya mitano tena sina ajira mkuu, bando nimegongea wifi hapa mzeeMkuu saa moja hii twende tukajenge nchi utasoma jion au unatoka lindo?
Mnamtania Mungu,mnaokota madada poa halafu mnaenda kwenye ibadaInaendelea......
Kabla ya kwenda kisiwa cha Siza tulipita kwanza kwenye kakisiwa flani hivi kalikua kako jiran na Siza, kama kawaida tulifika guest moja hv kupumzika,kukabidhi hesabu kwa dokta na kuchukua dawa nyingine zilizokua zimeisha.
Nilisahau kuwaambia namna tulivyokua tunalipwa na dokta.Kila dawa ilikua ina bei yake ko ulikua unatakiwa uuze kwa hyo bei malipo yako ni pale ukiuza kwa bei zaidi.
Mfano dawa ni 3k wewe ukiuza 5k unapeleka 3k kwa dokta na inayobaki ni yako kwa kila dawa.nilikua naona ni kazi sana kushawishi watu wanunue lakin kuna muda ilikua inakubid uuze tu dawa kwa bei yake ila dokta alikua ana huruma alikua anachukua hela kidogo zinazo baki tunabaki nazo.
Kuhusu kula,nauli na kulala ilikua ni juu yake......siku hyo nakumbuka tulimkabidhi hesabu yake akachukua 90k tu nyingine alitupatia.
Nilimshaur rafiki angu hela nyingine tutume nyumbani ili wajue kua tuna wakumbuka na kweli tulienda kuzituma.nilitumia Sister 150k m_pesa rafik angu pia alituma kwao hela.Nilijisikia Amani kusaidia familia yangu ingawa walikua wanajiweza
Nilimkumbuka bby angu nikamua nimpooze na 10k ya soda maana alinambia nikirud nimlete nguo.Me nilikua naona jau kununua nguo za kike.
Usiku hatukulala vizuri kwenye ile guest maana Tax bed a.k.a kunguni walitushughulikia kisawasawa...aise kunguni ni nomayani wanakung'ata ukiwasha taa unaviona hvyo vinaishirizia kujificha.kulipo kucha ilibidi tuondoke bila kuuza chochote hapo.
Tulipanda boti za wavuvi ( mtumbwi ) mpk Siza.Kisiwa cha Siza nikizur sana kwanza mchanga wake tu mweupe kama wa baharini..
Tulitafuta guest tuka bahatisha lakin zilikua ni za mabati moja kwa moja ko joto lilikua ni balaa wakati wa mchana.
Baada ya kupumzika mchana wake tuka amua kuingia mzigoni.Tuliuza sana siku hyo...Niliingia kwenye mji mmoja hivi nilikuta watu ni wengi tu wamekaa nje ya vyumba vyao.nilifika nikaanza kupiga promo ya dawa na kweli baadhi yao walinunua lakin kama kawaida yangu tabia yangu iliendelea ( kwa wale walikuwa wanataka dawa ya kuacha pombe )...kuna Mama mmoja alikua ndani kalala, alitoka nje baada kunisikia na kisha aliniita chumbani mwake na mlango aliufunga.
Madaktari wanajua sana siri za wagonjwa wao aisee.Huyo mama alinambia matatizo yake na mumewe mpk akawa analia.Alikua na tatizo la uzazi maana mpk kwa umri huo mkubwa alikua hana mtoto...alinambia kuwa kashatumia kila madawa mpaka ya kienyeji.Nilishtuka sana alivua kanga yake na kunionyesha dawa iliyokua kiunoni mwake ( kama shanga hivi ) eti alipewa na Masai kuwa kila anapokutana kimwili na mume wake awe ameivaa ndo mtoto atapatikana.
Me nilikua kmya tu namsikiliza wakat huo begi nimeliweka mapajan ili asione mashine yng ilivyosimama.Ilibaki kidogo nimtafune yule Mama sema tu alisema yeye na mume wake wanaumwa Kaswende.ko ndo ikawa pona pona yangu.
Nilimpa dawa ya uzazi na kaswende baada ya kumpa ushauri wa kitaalamu( cjui hata nilitoa wap yale maneno ya kumshaur yule Mama ) kisha nikaondoka baada ya kulipwa.nilmwachia namba za simu in case of danger aniombe ushauri.
Siku hyo mambo yalikua mazur sana kwetu.Usiku ulifika tukaenda hotelin kula.Dokta alituaga kuwa anaenda kumuona mgonjwa wake, sisi tulirudi wenyewe guest.
Kuna ugomvi ulitokea kwenye chumba kilichokua jiran yetu.Ni Kijana mmoja hivi alikua ni mwenyeji wa dar alikua kafata mzigo wa Dagaa.
Alikua anapigana na malaya wake.Malaya anadai 25k ni kwa bao moja na msela anataka walale mok asubui kwa hyo hyo hela.Walizichapa mpk kutona nje Binti alikua uchi jamaa yupi na boksa.
Me nilikua pemben nashuhudia ngumi mara nilishangaa mkono unanipapasa mgongoni kucheki ni ka dada poa kanataka kanipe huduma nilimuuliza bei akasema 15k tu mpk asubui me nilimwambia sina akasema nimpe niliyokua nayo
Nilienda kumgonga kwa buku tano tu.Nilichukua chumba kingine maana rafiki angu nae alikua na Dada poa moja mzuri sana ko yeye alimgongea kwenye hicho chumba tulicho book mwanzoni.
Kesho yake niliwai kumgongea rafiki angu mlango demu wake akasepa kisha tukaenda chumban mwa dokta kufanya ibada.saa moja tukaenda kusubiria boti itupeleke Kisiwa cha Izinga.
Wakat tunasubir bot alikuja yule Mama niliyemuuzia dawa ya kaswende na Uzazi kwanza niljua anazirudisha zile dawa kumbe alikua anataka tena dawa ya Kaswende kwa ajili ya Mume wake,nilimuuzia kisha bot ikaja tukapanda kuelekea Izinga
Katika sehemu ambayo biashara ilikua mbaya ni hapo izinga yaan mimi tu ndo niliuza dawa ya 10k Dokta alivyoona hivyo alidai tunarud msoma maana ka mmisi mkewe....ko tulienda kusubiria bot za kurudi kakukuru.Bot zilikua ni shida siku hyo tulisubir sana mpk kakapita kamtumbwi kamoja kalikua kamendikwa ALI KIBA ubavuni.
Me nilisema sipand ule mtumbwi maana ulikua na abiria wengi ( madansa ) alafu pia ulikua mdogo na Hali ya hewa ilikua mby yn sana,mawimbi yalikua makubwa sana.
Nilijikuta tu nimepanda ile bot ila roho haikuepo kabisa nilikaa kimya siongei na mtu.Kuna dansa mmoja nilikaa nae alikua ana nyege siku hyo sema tu ndo tulikua kwenye mtumbwi.Yaan alikua fununua vipaja vyake ili nione mara ananipapasa tumboni lakin hisia ne ndo sina kabisa.
Nitarudi baadae kidogo.....
Kweli mkuu. Hizi ni laana kabisa, ningejua story ipo hivi nisingeisoma kabisa ila basi tu najikuta naendelea na uziVitoto vitukutu sijawahi kuvipenda maisha yangu, hata udogoni kwangu wale wahuni wahuni sikuwa naiva nao kabisa wala stori nao sitaki
Toto gani kama umezaliwa na laana, yaani raha yako kuzurura usiku kuiba, yaani wewe kila kitu unaharibu, hata ukiachiwa kitu kidogo tu lazima kilete shida...laana za ukoo hizi
Dah hiii habari kutaka dawa ya kuacha pombe alaf unapewa yakutibu kichocho ni hatari sana nimecheka kinomaInaendelea...
Tulifika sehemu moja inaitwa Biyswa ( cjui kama nimeliandika vizuri ) kulikua na kivuko hapo cha kwenda Ukara ( wataalamu mtanisaidia kidogo jina lingine la Biyswa maana nimesahau )....Kwa vile ilikua ni Jumamosi tuliamua kupumzika kwenye guest moja hivi maarufu ( Green Parachichi ).Siku hyo tulikuta guest nyingi zimejaa na hata hapo green parachichi tulibahatisha tu chumba kimoja.Kulikua na mkutano wa kidini wa Waroma sasa ndo walichukua karbia guest zote.
Chumba tulipata kimoja tu ko ikatubidi tulale wote wa tatu hakukua na namna.Dokta alituaga kuwa kuna sehemu anaenda kumchek ndugu yake ko alitwambia akichelewa kurud tule ibada tumsubirie yeye tufanye kwa pamoja.
Rafiki angu alinitaka tukatembee kuona mazingira ya Ukerewe na kweli nilimsindikiza akaona sehemu wanauza simu akanunua kasimu ka batani ( maana yake ilitumbukia ziwani tukiwa kwenye bot ).
Wakati tunarudi madansa fulani hivi walikua wanatoa show njian.tulivutiwa na yale mauno ya wale plus kumwaga radhi mpk kuna kijana mmoja alituita akatuuliza " mnataka yupi hapo " tulikataa tukasema sio type zetu hao, tulielekea guest kupumzika kusubiria msosi wa jioni.baada ya msosi wa jion yule dokta alikua ameshakuja tukapiga ibada fresh tukalala tumebanana hivyo hivyo kibishi.
Siku iliyofuata asubui na mapema tukawai kupanda feli kuelekea Ukara tulipanda feli ile ya Mv Nyerere ( Iliyozama 2018 ).safar ilikua ni ya saa mbili mpk kufika ukara visiwa vya huko nimevisahau kiukweli maana vina majina magumu.
Kama kawaida tuliingia mzigoni kuuza madawa na kama kawaida yangu nilikua nawauzia watu madawa tofauti, rafiki angu nae alikua anawapa tofaut maana nilimwambia awe mjanja.
Wale wanaotaka dawa ya kuacha pombe me nilkua na wapa dawa yoyote isipokua ile ya uzazi.
Kuna sehemu moja nilipita nikakuta wavuvi wanacheza draft kuna mzee mmoja alinitoa pembeni akanieleza shida yake kuwa Mashine yake haisimami na mimi nilikua nimemaliza dawa ile ya Nguvu ya kiume ( Nguvu Men ndo ilikua inaitwa )..nilimtext rafiki angu kuwa aniletee hyo dawa kama anayo akasema anazo tatu na zina watu wake.
Niliona isiwe kesi nikampa dawa ya kutibu kichocho eti ndo ya Nguvu za kiume ( ila mimi jamani) mzee nilimpa maelezo jinsi ya kuitumia asubui kabla hajala kitu chochote na jion wakat wa kulala, alinishukuru sana akanipa 10k nilisema tu " sorry kapone kichocho mzee wangu " ila moyoni nilikua najutia kidogo baadae nasahau.
Tulirudi Biyswa kesho yake na kulekea sehemu moja inaitwa chibasi ( sijui ipo ukara au byswa maana nimesahau kiukweli mtanikumbusha kwa wanao pajua )
Tulifika hapo na kuanza kuuza madawa kwa wavuvi kama kawaida.Hyo sehemu watu hata hawaoneani aibu yaani wanaume na wanawake waoga karibu karibu uchi wa mnyama na hakuna anaemjali mwenzie.nilikua nadindisha balaa nilipokua nikiwaona wamama nyuchi zao ila nilijikaza.
Kuna mdada mmoja aliniita niende sehemu aliyokua amekaa, kiukweli alikua ni mrembo sana mweupe umbo lenye neema, nilimtamani sana huyo mrembo ingawa alikua ni mkubwa kwangu ila nilisema na mmudu.Alivyonielezea tatizo lake hata kumtaman kukaisha.Alikua na tatizo la bawasili ( najua sio vizur kueleza privacy za mtu lakin mnisamehe ).Nilishindwa hata namsaidia vipi maana dawa ya hilo tatizo lake sikutaka nimtapeli maana huruma ilinishika sana kwa jinsi alivyokua anaelezea hilo tatizo lake.Nilimshaur tu vizur aende hospital.
Niliachana nae njiani nikakutana mzee mmoja yeye alivunga ni msomi sana maana alini challenge sana.
Alitaka ni mtajie aina tatu za Enia ( Ngiri ) kijasho kilinitoka joto likapanda maana niliona naaibika ( nilikua najitambulisha kuwa mimi ni dokta kutoka musoma ).ila me mjanja nilimbadilishia mada kijanja bahat nzur alijaa na uzur alikua na shida ya ngiri kweli niliona ili iwefundisho kwake na kwa wengine nilimpa dawa ya vidonda vya tumbo badala ya ngiri ( ujuaji wake ulimponza ) tena alinipa 45k nikala kona kubwa.
Visiwa tulivyoenda ni vingi sana mpk vingine nimevisahau.
Ila hii trip ya kwenda kisiwa cha Siza,ghana na izinga nakumbukumbu navyo sana.
Tulienda hivyo visiwa kupitia sehem moja hivi inaitwa Kakukuru ( cjui kama nimetamka vyema ) tulipanda bot hapo kakukuru.Bot zilikua ni kubwa tena za injini tatu mpk mbili.Bot tuliyopanda ilikua ni kubwa na ilikua na mizigo mingi na abiria wengi lakin bot ilkua tv ko movie na muziki kama kawaida.
Me binafsi sikua na mawazo ya kuangalia tv nilikua nawaza tu kama tutafika salama ( kulikua na mawimbi makali cku hyo ).
Mungu alitusaidia tukafika salama Siza tukaenda kutafuta guest kama kawaida.
Nitarejea tena kumalizia Safar yangu ndan ya kisiwa







alaf hii itakuwa inafanyika hata huku mtaani kwetu hawa wamasai hawa siwaelewi elewiWengi wapo Kama wewe kwa ninao wafahamu pombe hawanywi lakini uhuni wa wanawake wanao sana.Ni kweli kabisa siku paswa kuwa kiongozi kanisani ila sikuweza kukata kazi ilinibid niifanye
Nataman sana ngoja nijikoki nikabadili mazingira wiki hata visiwa vya hapa darHizo area anazosema ni nzur kwakweli...yaan mm naendaga nakaa wiki nikiamka naona maji ..yaan kuzuriii..unataman kuhamia mazima


ndani ya fenda utadhani sisi ni gunia...Walituambia tulalie tumbo wakati huo tumebanana ( tuliwakuta wengine waliokamatwa kama sisi wapo kwenye Fenda ).

...ila siku hyo sitoisahau nilijilaumu kwann nilienda huko nilimchukia yule demu kwa kuni chomesha mahindi.


ila nani alie mjali sasa kwa muda ule alilia mpk akanyamaza mwenyewe..YAAAANI MWANANGU STORY YAKO NAIFATILIA KAMA VILE NILIVYOKUWA NAFATILIA UCHAGUZI WA OCT 2020Inaendelea
Turudi kisiwani......
Siku hyo ziwani mawimbi yalikua ni makubwa kwa sababu ya upepo kitendo kilicho fanya hata sikuweza kutoa simu yangu mfukoni kwa hofu ya kudondoka ziwani kama ya rafiki angu.
Safar ilikua ni ndefu kimtindo ila japo mawimbi yalikua ni makali lakin ile injini ya mtumbwi ilikua iko imara kuyakata...nilijikuta. natamn tusiwai kufika kakukuru maana niliipenda ile hali ya kwenye boti ingawa nilikua naogopa.
Tulifika ng'ambo tukachukua teksi iliyotupeleka mpk Bwisya ambapo napo tukachukua teksi ya kwenda Nansio tulifika Nansio Kwa madereva teksi wa kwenda Kisorya feli kwa ajili ya kwenda Bunda kisha turudi Musoma......Dokta alitutaka tutoe sh 7k kila mmoja kwa ajili ya Nauli tukakubali
Dereva taksi alijikosea siku hyo alitutoza nauli tofaut na tuliyokubaliana nae ko Dokta alimpiga mpk akatoa chenji ( alikua kagoma kutoa )
Tulifika Musoma saa 4 za usiku nilikua na hela zile ambazo nilikua nikiziuza kimagendo bila dokta kujua.
Kesho yake nikiwa home niliamua kumtafuta yule manzi wa kule Ilugwa ili tufahamiane vizur maana muda kufahamiana ulikua haupo.Alinambia kuwa yeye ni Mwenyeji wa Shinyanga na alikua anasoma chuo cha buhare CDTI ( ngoja nimruke tena nitamzungumzia baadae tena huyu manzi )
Mwaka Mpya wa 2017 nilipataa majanga balaa...tareh 31 kabla ya kuingia mwaka moya kuna demu mmoja hivi nilikuwa na mihadi nae Usiku nilimuomba show akasema saa nne nimfuatee mitaa yao NYAMATARE.
Basi midaa ya saa tatu nilienda mtaani kwao ila akanambia ni subir mpk Wazazi wake walale..( niliudhika ila sikua na namna )...Ilibidi niende kwao na rafiki angu ni hapo hapo nyamatare nimsikilizie Manzi mpk anistue ni mchukue....
Kipindi cha kuukaribisha mwaka mpya hua vijana wanafanya fujo ( kuchoma matairi barabarani,Kupiga mabaruti na kero nyingine nyingi )....Sehemu zenye hizo fujo sana ni mitaa ya Nyakato, Iringo, Majita road mpaka huko Nyamatare kuelekea buhare
Police hua inadhibiti sana hyo mitaa wakati wa Mwaka mpya....Basi siku nilimsubir huyo demu ani text wapi nikajua tu kanirusha, niliamua kukaa pale kwao na rafiki ili baadae twende kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Nikiwa hapo sina hili wala lile tulishangaa tu vijana kama wawili waingia ndani na mbio...hatukuwajua sisi tulikua bado tunajiuliza kuna nn mara police watatu wakaingia na wenyewe na marungu yao bila hata kuuliza wakatushika me na rafiki pamoja na huyo kijana mmoja, mwingine cjui walimsahau....
Nilikua nawaambia maafande kuwa sisi tulikua ndani tumetulia lakin wapi....Maafande ni Nyoko yaan hawana huruma mdaa huo wametutoa nje kulikua na maafande wengine acha waanze kutupiga na Marungu yao pamoja na vitako vya bunduki....Walikua wanafoka kisenge eti tunafanya fujo...ilikua hawakurusu ujitete...nilipigwa rungu za kwenye goti na ugoko huku tunaburuzwa kwenda kwenye Fenda ( walikua wameibaki pale Nyamatare Sheli )
Narudia kusema tena police ni sio wana kabisa walinipiga mpk simu yangu ilipasuka na kilikua ki Aitel cha batani.....Tulifikishwa kwenye fenda walivyoturusha sasandani ya fenda utadhani sisi ni gunia...Walituambia tulalie tumbo wakati huo tumebanana ( tuliwakuta wengine waliokamatwa kama sisi wapo kwenye Fenda ).
Police wanamatusi mwingine alikua anasema ngoja ni mnukuu maana maneno nayakumbuka " yani nyie badala mlale mnasumbua watu na mabaruti yenu leo tunaenda kuwafira kumamae zenu"...nilivyosika hvyo na kosa sijalifanya nilitaman nisimame niruke nikimbie lakin ningewezaje na hku tulikua tumebanana kisawasawa...na police walivyo wakuda walikua wamesimama kwenye migongo yetu...ila siku hyo sitoisahau nilijilaumu kwann nilienda huko nilimchukia yule demu kwa kuni chomesha mahindi.
Kama utani vile Fenda ilifika Central tukatolewa huku bado tunapigwa virungu....kumbe police unaingia bila hata kutenda kosa...tuliambiwa tuvue viatu ma mikanda kama kuna mtu mwenye hela akabidhi pale mapokezi...me muda huo na kasimu kangu tu niko peku nilikabidhi wakaandika kisha moja kwa moja mpk Sero...
Kwa mara ya kwanza ndo naingia Sero toka nizaliwe nilikua napasikia tu...watu walikua wengi siku hyo hasa vijana...kuna jamaa mmoja tulie ingia nae nilikuja kumjua kwa jina la Athumani baadae sana....Alikua analia vibaya mno " yara yara yara Yaalabi niokoe mimi mwanao"ila nani alie mjali sasa kwa muda ule alilia mpk akanyamaza mwenyewe..
Asubui ilifika maumivu yalikua ni makali kisenge mpk kunyosha goti la kushoto ilikua ni Tabu kwangu yani ilikua siku mbaya kwangu...pona pona ilikua ni afande mmoja hivi tulkua ni majirani ndo aliwajulisha home....Ili nitoke walidai watoe 250k na kweli Mzee alizitoa nikatoa walinambia niwe narudi kituoni kwa ajili ya upelelez, nilirud siku moja tu nyingine nikakausha...
Nitarudi baadae tena.....