Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Dah hiii habari kutaka dawa ya kuacha pombe alaf unapewa yakutibu kichocho ni hatari sana nimecheka kinoma alaf hii itakuwa inafanyika hata huku mtaani kwetu hawa wamasai hawa siwaelewi elewi
sana tu mkuu me ilikua ukiingia njiia zangu umeisha utakunywa hata kaswende
 
Nimetembea sana visiwa vya ukara sema nimeshavisahau..halafu hyo guest ya GREEN PARACHICHI KAMA NIMESHAIONA. Halafu mbona kama Bwisya ni Ukara kabisa na hyo guest ipo ukara? au nimesoma vibaya unasema ipo UK.
inaweza kuwa hivyo mkuu maana me hua navichanganya sana hivyo visiwa
 
"Kesho yake niliwai kumgongea rafiki angu mlango demu wake akasepa kisha tukaenda chumban mwa dokta kufanya ibada.saa moja tukaenda kusubiria boti itupeleke Kisiwa cha Izinga."

Swali, Leo umeenda kufungua sabato Mh. shemasi?
Mkuu ni zaid ya miezi mitano cjaenda church
 
MKUU NIMEAMKA ASUBUHI KWAAJILI YAKO NIKIJUA NTAKUTA NONDO NZITO SANA UMEACHIA
 
Back
Top Bottom