Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Vjana wa musoma wanapenda mambo ya makundi makundi ya uwizi kule kwao ndo ujanja yani ili uonekane mjanja lazma uwe kwenye makundi ya wavuta bangi na wavunjaji Kama hao Jamaica mokers na mbio za vijiti
Sijawahi kutamani kuishi tena musoma
 
pole mkuu kama ulishakuwa muhanga ila now musoma ni sehemu salama sana
 
Mniwie radhi ndugu zangu kwa kuchelewa kuweka najua nawakata stimu lakin wikendi ndo nipo free sana.

Tuendelee......

Mwaka 2013 ckufanya matukio ya kuteka na kupora nilipumzika, niliwaza sana kuhusu maisha ninayoishi nikajisemea " niwe serious na kitabu " kumbe ndo nilijikosea kuwaza maana niliingia kwenye mahaba mazito na Jirani yangu ( Sugar mumy ) hii nilishaiongelea kwenye thread iliyopita ko tuiache kwanza.

Kimasomo nilkua chini sana plus skendo zangu kumfikia Mama kisha Mama kumwambia mzee.Mzee aliongea mambo magumu sana kwangu alinambia Live kuwa hajaniweka kwenye urithi wake mbele ya Mama angu na kudai me sio Mwanae ko nimalize tu form 4 then niondoke kwake.Binafsi siku yajali maneno yake.Kwenye akili yangu alikuwepo huyo sugar mumy wangu.

Maisha yaliendelea nikamaliza shule vizr nikabaki kusubir matokeo kama yatafanya nifukuzwe home ama nibaki.Kuna siku lilitokea tukio moja kubwa sana home yaani mpk sikuiz nikilikumbuka huwa cjiksikii poa kabisa.

Ni mgogoro wa kifamilia kati ya Mzee na Mama.Mzee wangu ni mzee wa totozi alikua anazila sana lakin sasa wivu kwa mke wake ndo usiseme.Nakumbuka tu siku ambayo ilkua ni jumapili usiku nisingekuwa pengine mimi Mama angu alikua anauwawa tena kikatili sana.

Siku tulikua mezani tunakula Mimi, wadogo wa tatu na Mama ghafla Akaja Mzee yupo tungi ila sio sana alijumuika na sisi kula vizur tu huku asemi chochote.Ghafla kwenye simu ya Mama text ikaingia simu ilikua kwenye meza ya tv ko Mama kama aliipuuza hyo text Mzee akainuka kwenda kuisoma naona akanawa akaenda chumbani mwake kisha akarudi na Nguo, alinambia " ukimaliza kula uninyooshe nguo " nikasema sawa baada ya kumaliza kula Mama nae alielekea Chumbani me nikabaki sebuleni na madogo wakati huo nanyoosha nguo za mzee.

Mara chumbani kukaanza kusikika makelele ya watu kugombezana.Mara Mother akaja sebuleni huku analia alitwambia tu anaondoka amechoka na vituko vya mzee kisha akarudi chumbani kukusanya nguo asepe zake ( wakati huo ni saa 4 inaelekea saa 5 usiku ).Mzee naye alitoka chumbani akaenda nje kisha akarudi ndani jikon kulikua na Panga nyuma ya mlango wa jikoni ( hilo panga me ndo nililitunza hapo siku za nyuma kidogo ) akaenda nalo chumbani aka lock mlango.

Hazikupita hata dakika tano tukaanza kusikia kelele za Mama akilia kuomba msaada kua anakufa.Bro wangu ( mtoto wa bamkubwa) na Yule jamaa ( mtoto wa mwenye nyumba ) waliamka kujua nini kinaendelea lakin hawakua na msaada wowote maana mlango ulilokiwa na mzee.Wakati huo mdogo wangu wa mwisho wa kike analia kweli.Wazo likaja kichwani mwangu kuwa kunafunguo za akiba hua zinakaa kwenye kabati sebuleni.Basi nikawai kuzichukua nikamletea huyo jamaa ( mtoto mwenye nyumba ) akakataa kufungua akidai hayo ni matatizo ya ndoa haweez kuingilia.

Niliamua kufungua me mwenyewe nilimkuta mama yupo chini mzee yupo juu yake.Mama akijaribu kujiokoa maana mzee alikua amemkabia chini mkono wake mmoja umenyanyua panga juu sema mama nae amelishika hilo panga kwenye makali akijaribu kulizuia.Nilichukua kiatu cha mzee kilikua pembeni nikampiga nacho mzee kichwani lakin hakumwachia Mama, nikaona iliamuachie ni mpige roba.Na kweli nilimpiga Roba moja matata yaani niliona anamuachia Mama na panga akaliangusha, akawa sasa anajiiokoa yeye ( najua kumpiga mzazi ni laana lakini sikuwa na jinsi siku hyo ) akili kichwani kwangu iliruka kidogo nilimpiga roba hadi nikawa naona mtu kama analegea, nikaona nitaua bure nikamuacha amelala sakafun nikakimbia nje wakati huo Mama alikua ameshachukuliwa na Bro wangu pmj na yule jamaa wakaenda kumficha nje.Nilkuta Mama kazimia nikajua amekufa wasiwasi ulikua mkubwa ikabidi nirud ndan kwa mzee nilikutana nae njian nikamwambia umeua huku, niliona amepata hofu akanambia yupo wap nikamuelekeza akamchukua mpk hospital ya Mkoa wa Mara.

Hospital walitaka pf 3 ko ikabid twende police ila cha ajabu mzee alisema Mama alivamiwa na vibaka wakat huo nikimuona mama alivyomjeruhi natamani tu tuzipige ngumi ila Wakat huo huo bado na mpenda Mzee pia.

Najua sio vizuri kusimulia mambo ya familia lakin hili nimeona niliandike humu kwenu ili muone ni jinsi gani nilikua naipenda familia yangu.Maana hata police sikusema kuwa Mzee ndo mwenye kosa nilimlinda hadi alishangaa.Mgogoro wao ulitulizwa na Bibi angu kizaa Baba maisha yakaendelea.

Tutaendelea tena kesho
 
nikamwambia umeua huku, 😂😂😂
 
Inaendelea

Nilivyowaona hao wadau sikutaka kukimbia maana niliona nikiwakimbia watachukua point sana.Nilivua kabisa shati la shule nikabaki na tishet niliyokua nimevalia ndani ya shati ckutaka shati langu lichanike.Basi niliwafuata mpk walipo nikataka kuwapita niendelee na safar zangu wakanizibia njia.Waliniuliza tu kama niko fresh nikasema ndio, hata cjajiandaa vizur muhuni mmoja akanigonga bapa kwenye bega na zuna ( sime ) ile narudi nyuma yule msela ( jiran yangu ) alikua na wembe mkononi mwake akanifuata ili anichane nao, nilirudi nyuma haraka akajikwaa alianguka akajikata na wembe wake mwenye nyuma ya kiganja cha mkono wake damu zilimtoka sana ( hadi nilimuonea huruma ingawa me ndo nilikua muhanga ) wale wenzake walivyoona hivyoona hivyo walinizingira sasa hapo nikawa na pigwa korabo.Nilipigwa sana bapa za zuna,kuchanwa na nyembe mgongoni na kwenye mbavu.Niliwachoropoka nikakimbilia maandazi ya Mungu ( mawe ) nikamjeruhi muhuni mmoja kwenye pua ilikua ni full ku breed.nilkua kichaa ghafla hasira kama zote mpk wakawa wanaogopa kunisogelea mkononi nina mawe kwa ajili yao.Wanafunzi waliokuwa wanatoka shule wenye walisimama kwa muda kuona sinema ya bure kabisa wala hata hawaachanishi wanawaogopa wale wahuni katika hizo harakati Ticha mmoja wa primary ndo alitokea akatishia kupigia simu police ndo wahuni wakakimbia ila yule nilie mpiga jiwe la pua akasema atanitafuta yaani bifu likawa kubwa zaidi

Nilibaki na yule ticha pale na baadhi ya wanafunzi nikataka wanitafutie boda inipeleke home nilikua najua tu watakua wananivizia tena njiani.Boda ilikuja nikapanda ikanipeleka home Bi mkubwa alivyoniona vile alishtuka sana nilikua na damu plus ile tishet ilikua imechanwaa na nyembe.Nilimuelezea kisa kizima akaniambia nisitoke home yaan hata kutumwa nilikua ctumwi.Mpaka leo mgongo na mbavu bado makovu yapo.

Bifu lilikua zito ngoja niseme lilivyoisha.Kama nilivyowaambia nilikua ctoki home yaan ilikua ni kwenda shule tu tena na boda.Siku hyo jamaa angu mmoja alinifuata home akitaka nimsindikize Majita road walimtuma kwao, nilikataa lakin alinisihi akidai likitokea la kutokea atakua pamoja nami, nilimkubalia nikawa najua tu lazima nikutane na hao wahuni.Nilibeba kisu cha home kwa ajili ya kujitetea kama nikikutana nao.Na kweli nilkutana nao lakin walikua watatu cku hyo niliogopa ila sio sana maana nilijua niko na huyo jamaa alieahid kuni save.Yule jamaa nilie mpiga jiwe alichomoa bisi bisi kiuononi kuja kunichoma nayo me nae nikatoa kisu alivyoona kisu akastop kufanya alichotaka kukusudia ngumi zilipigwa cku hyo mpk nikakubali tu kushindwa kuondoa bifu japokua niliumizwa lakini me nae niliwapa alama za maisha.Maisha yaliendelea kma kawaida urafiki wetu ulirud automatic tukiwa tunaheshimiana ila sio na nawe wahuni wa mbio za vijiti wale mpk leo kama bado wako hai nahisi bifu bado lipo.

Nitarudi kueleza hya yafuatayo..

1_nilivyo aanza kuiba na Kuteka Watu simu
2.Nilivyonusulika mimi na wenzangu kushikwa na mabodaboda cku hyo jamaa etu alituletea Majanga sana.

3.nilivyonusulika kutekwa na Wahuni wa Uswazi

4.Hustling zangu mtaani baada ya kufeli Form four

5.Na mengne mengi kadri nitakavyo yakuumbuka maana nimepitia Mengi sana.
Vitoto vitukutu sijawahi kuvipenda maisha yangu, hata udogoni kwangu wale wahuni wahuni sikuwa naiva nao kabisa wala stori nao sitaki

Toto gani kama umezaliwa na laana, yaani raha yako kuzurura usiku kuiba, yaani wewe kila kitu unaharibu, hata ukiachiwa kitu kidogo tu lazima kilete shida...laana za ukoo hizi
 
Back
Top Bottom