manndungu
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 503
- 490
Housegirl? Itakua chakula yake si bureSawaa na mm notakuja na uzin wangu nilivyonuzurika kuuwawa na tajiri nilivyo taka kutembe na house girl wake njiro Arusha hyo 2011 mwez wa tano around
Malezi/mazingira ndo yanawabadili watu...hasa kama anamarafiki wabaya at adolescense. So stop pointing fingure shukuru kwa malezi ulokuliaNi tabia yako tu kwanini uchague marafiki hao
Subiri watoto wako wapate hizo tabia ndo utajua ni laana au nini... You are too judgementalVitoto vitukutu sijawahi kuvipenda maisha yangu, hata udogoni kwangu wale wahuni wahuni sikuwa naiva nao kabisa wala stori nao sitaki
Toto gani kama umezaliwa na laana, yaani raha yako kuzurura usiku kuiba, yaani wewe kila kitu unaharibu, hata ukiachiwa kitu kidogo tu lazima kilete shida...laana za ukoo hizi
Kuna mtu anakomaa hizi tabia eti ni laana za ukoo sasa aje aseme ilikuaje laana ikaisha ulipohamishwa na tabia ikabadilikaAisee ni kweli kanda ya Musoma,Tarime ni kanda hatari sana enzi hizo..Na mm nilizaliwa hizo kanda kwa sbb ya wazazi kazi walikua huko aisee nilikua napigana sana,mawe kutoana ngeu mara kukimbiza wezi basi tafrani. Nashukuru Baba alihamishwa ponea ponea yangu kwenda kwingine na kubadilika mazima. Ningeharibika sana kule.
Tunaomba linkkuna uzi wake mbn nilishauleta hapa
Tunaomba link
Shemasi ni m-bad sana aiseeHahahahaaa eti uliteleza ukaanguka sababu ya uchovu wa show. . We shemasi noma sana
Hapo ni biashara mzee,mwenyekiti akafie mbele na ulevi wake hahahaWe jamaa umeniacha hoi kumpiga mwenyekiti dawa ya kisonono akijua ya kuacha pombe hahahaaa
Usituharibie story hapa kwa judgement zako, kaamua kusimulia Ina maana amebadilikaVitoto vitukutu sijawahi kuvipenda maisha yangu, hata udogoni kwangu wale wahuni wahuni sikuwa naiva nao kabisa wala stori nao sitaki
Toto gani kama umezaliwa na laana, yaani raha yako kuzurura usiku kuiba, yaani wewe kila kitu unaharibu, hata ukiachiwa kitu kidogo tu lazima kilete shida...laana za ukoo hizi