Inaendelea......
Kabla ya kwenda kisiwa cha Siza tulipita kwanza kwenye kakisiwa flani hivi kalikua kako jiran na Siza, kama kawaida tulifika guest moja hv kupumzika,kukabidhi hesabu kwa dokta na kuchukua dawa nyingine zilizokua zimeisha.
Nilisahau kuwaambia namna tulivyokua tunalipwa na dokta.Kila dawa ilikua ina bei yake ko ulikua unatakiwa uuze kwa hyo bei malipo yako ni pale ukiuza kwa bei zaidi.
Mfano dawa ni 3k wewe ukiuza 5k unapeleka 3k kwa dokta na inayobaki ni yako kwa kila dawa.nilikua naona ni kazi sana kushawishi watu wanunue lakin kuna muda ilikua inakubid uuze tu dawa kwa bei yake ila dokta alikua ana huruma alikua anachukua hela kidogo zinazo baki tunabaki nazo.
Kuhusu kula,nauli na kulala ilikua ni juu yake......siku hyo nakumbuka tulimkabidhi hesabu yake akachukua 90k tu nyingine alitupatia.
Nilimshaur rafiki angu hela nyingine tutume nyumbani ili wajue kua tuna wakumbuka na kweli tulienda kuzituma.nilitumia Sister 150k m_pesa rafik angu pia alituma kwao hela.Nilijisikia Amani kusaidia familia yangu ingawa walikua wanajiweza
Nilimkumbuka bby angu nikamua nimpooze na 10k ya soda maana alinambia nikirud nimlete nguo.Me nilikua naona jau kununua nguo za kike.
Usiku hatukulala vizuri kwenye ile guest maana Tax bed a.k.a kunguni walitushughulikia kisawasawa...aise kunguni ni noma [emoji1316][emoji1316] yani wanakung'ata ukiwasha taa unaviona hvyo vinaishirizia kujificha.kulipo kucha ilibidi tuondoke bila kuuza chochote hapo.
Tulipanda boti za wavuvi ( mtumbwi ) mpk Siza.Kisiwa cha Siza nikizur sana kwanza mchanga wake tu mweupe kama wa baharini..
Tulitafuta guest tuka bahatisha lakin zilikua ni za mabati moja kwa moja ko joto lilikua ni balaa wakati wa mchana.
Baada ya kupumzika mchana wake tuka amua kuingia mzigoni.Tuliuza sana siku hyo...Niliingia kwenye mji mmoja hivi nilikuta watu ni wengi tu wamekaa nje ya vyumba vyao.nilifika nikaanza kupiga promo ya dawa na kweli baadhi yao walinunua lakin kama kawaida yangu tabia yangu iliendelea ( kwa wale walikuwa wanataka dawa ya kuacha pombe )...kuna Mama mmoja alikua ndani kalala, alitoka nje baada kunisikia na kisha aliniita chumbani mwake na mlango aliufunga.
Madaktari wanajua sana siri za wagonjwa wao aisee.Huyo mama alinambia matatizo yake na mumewe mpk akawa analia.Alikua na tatizo la uzazi maana mpk kwa umri huo mkubwa alikua hana mtoto...alinambia kuwa kashatumia kila madawa mpaka ya kienyeji.Nilishtuka sana alivua kanga yake na kunionyesha dawa iliyokua kiunoni mwake ( kama shanga hivi ) eti alipewa na Masai kuwa kila anapokutana kimwili na mume wake awe ameivaa ndo mtoto atapatikana.
Me nilikua kmya tu namsikiliza wakat huo begi nimeliweka mapajan ili asione mashine yng ilivyosimama.Ilibaki kidogo nimtafune yule Mama sema tu alisema yeye na mume wake wanaumwa Kaswende.ko ndo ikawa pona pona yangu.
Nilimpa dawa ya uzazi na kaswende baada ya kumpa ushauri wa kitaalamu [emoji1787][emoji1787] ( cjui hata nilitoa wap yale maneno ya kumshaur yule Mama ) kisha nikaondoka baada ya kulipwa.nilmwachia namba za simu in case of danger aniombe ushauri.
Siku hyo mambo yalikua mazur sana kwetu.Usiku ulifika tukaenda hotelin kula.Dokta alituaga kuwa anaenda kumuona mgonjwa wake, sisi tulirudi wenyewe guest.
Kuna ugomvi ulitokea kwenye chumba kilichokua jiran yetu.Ni Kijana mmoja hivi alikua ni mwenyeji wa dar alikua kafata mzigo wa Dagaa.
Alikua anapigana na malaya wake.Malaya anadai 25k ni kwa bao moja na msela anataka walale mok asubui kwa hyo hyo hela.Walizichapa mpk kutona nje Binti alikua uchi jamaa yupi na boksa.
Me nilikua pemben nashuhudia ngumi mara nilishangaa mkono unanipapasa mgongoni kucheki ni ka dada poa kanataka kanipe huduma nilimuuliza bei akasema 15k tu mpk asubui me nilimwambia sina akasema nimpe niliyokua nayo
Nilienda kumgonga kwa buku tano tu.Nilichukua chumba kingine maana rafiki angu nae alikua na Dada poa moja mzuri sana ko yeye alimgongea kwenye hicho chumba tulicho book mwanzoni.
Kesho yake niliwai kumgongea rafiki angu mlango demu wake akasepa kisha tukaenda chumban mwa dokta kufanya ibada.saa moja tukaenda kusubiria boti itupeleke Kisiwa cha Izinga.
Wakat tunasubir bot alikuja yule Mama niliyemuuzia dawa ya kaswende na Uzazi kwanza niljua anazirudisha zile dawa kumbe alikua anataka tena dawa ya Kaswende kwa ajili ya Mume wake,nilimuuzia kisha bot ikaja tukapanda kuelekea Izinga
Katika sehemu ambayo biashara ilikua mbaya ni hapo izinga yaan mimi tu ndo niliuza dawa ya 10k Dokta alivyoona hivyo alidai tunarud msoma maana ka mmisi mkewe [emoji1787]....ko tulienda kusubiria bot za kurudi kakukuru.Bot zilikua ni shida siku hyo tulisubir sana mpk kakapita kamtumbwi kamoja kalikua kamendikwa ALI KIBA ubavuni.
Me nilisema sipand ule mtumbwi maana ulikua na abiria wengi ( madansa ) alafu pia ulikua mdogo na Hali ya hewa ilikua mby yn sana,mawimbi yalikua makubwa sana.
Nilijikuta tu nimepanda ile bot ila roho haikuepo kabisa nilikaa kimya siongei na mtu.Kuna dansa mmoja nilikaa nae alikua ana nyege siku hyo sema tu ndo tulikua kwenye mtumbwi.Yaan alikua fununua vipaja vyake ili nione mara ananipapasa tumboni lakin hisia ne ndo sina kabisa.
Nitarudi baadae kidogo.....