Hadithi ya KALUMEKENGE

Dah nakumbuka kulikua na mtihani wa kusoma basi walikua wakileta vihadithi kama hivi sikawii kulamba mia! That was then....
 
Moto ukakataa.
Baba yake akasema kwa maji.....
Maji yakakataa kuzima moto.
Baba yake akasema kwa mbuzi, waweza kuyanywa maji .....
Mbuzi akakataa!
Baba akaenda kwa Sultani.
Akamwambia, Waweza kumla mbuzi?
Sultani akabubali.

Akamla Mbuzi,
Mbuzi baada ya kuliwa akayanywa maji!
Maji baada ya kunywewa yakazima moto,
Moto baada ya kuzimwa ukachoma fimbo!
and the story goes!
 

Hiyo hadith pamoja na utoto wangu wakati huo niliweza kuona haiko sawa. Mbuzi anakunywaje maji baada ya kuliwa? maji yanazima moto baada ya kunywewa and so on......
 
duh..mmeniacha kidogo lakini nilishawasikia wakubwa wakikisimulia hiki kitabu...doesnt mean mimi ni dot com generation,...atleast nimemsoma sungura kwenye sizitaki mbichi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…