ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
siku sio nyingi nitakuwa mgeni wako.. Niandalie zawadi yanguNi story ndefu ambayo aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.
siku sio nyingi nitakuwa mgeni wako.. Niandalie zawadi yanguNi story ndefu ambayo aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.
mmmhhNapenda kukuona ukinuna 🙂
Pole sana. Ni mchezo mchafu aliofanyiwa Ben na Mwanasiasa.Mzee alifungwa kwa kosa gani?
Hicho kitabu kipo hewani?
Ni story ndefu ambayo aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.
natamani sana kuisoma, asante kwa riwaya hii MALAIKA WA SHETANINinayo ila si kwa soft copy
Jamaa alikuwa mtunzi mzuri sana, tofauti na watunzi wengine kazi zake zote ni bora na hazichoshi kuzisomaDaa Ben alikuwa hakosei kabisa!!! RIP Ben Mtobwa.
Mkuu vitabu vya Mtobwa vipo kibao Ubungo bus terminal na kkoo msimbazi road,kuanzia Malaika wa shetani mpaka roho ya paka,Najisikia kuua tena mpaka mtambo wa mauti...na vengine vingi.Nameless girl, Napenda sana vitabu vya Mtobwa. Navipataje?
Mkuu vitabu vya Mtobwa vipo kibao Ubungo bus terminal na kkoo msimbazi road,kuanzia Malaika wa shetani mpaka roho ya paka,Najisikia kuua tena mpaka mtambo wa mauti...na vengine vingi.
Tembelea maeneo hayo.
nitatembelea maeneo hayo, nadhani ntavipata.Shukran kiongoziMkuu vitabu vya Mtobwa vipo kibao Ubungo bus terminal na kkoo msimbazi road,kuanzia Malaika wa shetani mpaka roho ya paka,Najisikia kuua tena mpaka mtambo wa mauti...na vengine vingi.
Tembelea maeneo hayo.
haswaa nadhani alizaliwa kwa ajili ya utunzi wa riwaya pendwaDaa Ben alikuwa hakosei kabisa!!! RIP Ben Mtobwa.
Labda tuwasiliane kwa namba 0712504985 au 0763044459Nameless girl, Napenda sana vitabu vya Mtobwa. Navipataje?
Zawadi ya ushindi au zawadi ya ugeni?siku sio nyingi nitakuwa mgeni wako.. Niandalie zawadi yangu
Ntarudi mkuuhadithi nzuri sana, itaendelea lini tena mkuu?