Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Madai nakudai jina lako.ni kosa la madai ama jinai?
Madai nakudai jina lako.ni kosa la madai ama jinai?
Unaweza kudai kitu cha mtu hahahaaaMadai nakudai jina lako.
icho ndo kinaniendesha vibaya...Kiguu na Njia ntakifuata mwenyewe
Leo umepata jina bint mkwelikazi kwenu
lipi?Leo umepata jina bint mkweli
Uliahidi kuwa jana ungemalizia hadithi na imekuwa kweli so inabidi jina lako liwe bint mkweli.lipi?
ndo imeisha ivoendelea bas acha kudeka #hapa kaz 2 hakuna kudeka. ibra87 mpe makamuzi
aaah haya bwana ukitunga nyingne nitag powando imeisha ivo
kuna watu wanaiba na kuzisambaza huko wanakokujua.Too bad umezifuta nameless girl
Mwendelezo pleasekuna watu wanaiba na kuzisambaza huko wanakokujua.
icho ndo kinaniendesha vibaya...
siibuki tena humu mpk nimalize kazi zangu