Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,154
Nimekujaaaa
Mbona hatuoni mwendelezo?
Nimekujaaaa
Ntarudi....Mbona hatuoni mwendelezo?
Tunakusubiri dereva,gari limeshajaa.Ntarudi....
Nameless unaniboaga kwa hili pozi tu
shida yake anataka niende kwao akanione ndiopole mkuu labda anabanwa na majukumu mengine kuwa na subira......
Hahahaaa nenda unilete copyshida yake anataka niende kwao akanione ndio
samahani wewe ni mtoto wa Ben Mtobwa?Hahahaaa ni kweli. Mimi ni yule niliyekua nimelazwa hospitali.
nikiwahi kuchomoka job nitamfuata bunju. Lakini aniandalie copy za kutoshaHahahaaa nenda unilete copy
hilo ndio jibu mkuu.. lakini umwite shemeji tu usilete menginesamahani wewe ni mtoto wa Ben Mtobwa?
hilo ndio jibu mkuu.. lakini umwite shemeji tu usilete mengine
hawachelewi hawa ukajikuta unaitawa shemejiacha wivu weweeeee unatanguliza shemeji kwani umesikia anataka kuzima taaa😀
Ukitaka hiko kitabu kipo posta mpya karibia na sanamu mbele ya duka la hd pharmacy. Ukipenda vumilia tu hapa.Tatizo ili ni la kudumu. Basi tuambieni kitabu tatapata wapi?
Ni story ndefu ambayo aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.Mzee alifungwa kwa kosa gani?
Hicho kitabu kipo hewani?
Nimekumbuka.Ni story ndefu amba aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.
Nimekumbuka.Ni story ndefu amba aliitolea kitabu. Chanzo kikuu ni siasa.