ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
Adrian Mpuuzi yule atamtorokaje Joram kiango? kila nikisoma jina lako namkumbuka NEEMA IDDAdrian anatokeaga kama mzuka. Humu hayumo walaiiiiiiii
Adrian Mpuuzi yule atamtorokaje Joram kiango? kila nikisoma jina lako namkumbuka NEEMA IDDAdrian anatokeaga kama mzuka. Humu hayumo walaiiiiiiii
Subiri tu mkuu...Tunasubiri
mpaka lini?Subiri tu mkuu...
Atakuwa amesahaumpaka lini?
Nitarudi tu mkuu, kwa simu siwezi mpk nitumie laptop ndo mana...Atakuwa amesahau
Si utumie tu hiyo Laptop Mkuu, tunachoka kila muda kuchungulia hapa.Nitarudi tu mkuu, kwa simu siwezi mpk nitumie laptop ndo mana...
Kesho nawekaHahaaah dah, addicted!
InshaAllah fanya hivyo maana hii si ya kukosa tunajitahidi kila baada ya nusu saa kuangalia hii seriesKesho naweka
kesho hajawahi kufikaDu! Nachungulia hapa kila wakati sijui hiyo kesho haijafika
mbona nimetupia sura ya 7 sasa ivMkuu vipi lini inaendelea?
Safi mkui twende kazi namba 8 9......mbona nimetupia sura ya 7 sasa iv
Ila punguza mapozi unatucheleweshea uhondo.mbona nimetupia sura ya 7 sasa iv
tutaonana mwakani muda kama huuIla punguza mapozi unatucheleweshea uhondo.
Kwa taarifa yako Hiki ndio kitabu changu Namba moja katika
vyote vya Riwaya za Kipelelezi za Ben Mtobwa.
Nakupa onyo ukichelewesha utajikuta upo Mikononi mwa Nunda.