Hadithi kali Faili namba 25

Bonge la story, mkuu tafuta namna ya kuingia mkataba na bongo muvi mtengeneze series yenye episodes za kutosha. Ushauri usiuze script, ingia mkataba uwe na hisa kwa kila kipande watakachouza.
Wakubali kuingia gharama waigize sehemu zote ulizotaja kuanzia mtwara mpaka Mwanza wapate mtu wa kuedit vizuri. Hakika itakua gumzo
 
Bonge la wazo aiseeee......mko wapi bongo movies
 
NINA MATATIZO BINAFSI KIAS NASHINDWA KULETA KAZI KWA WAKATI,LAKINI TUTAFIKA MWISHO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom