Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,466
Kuna haya mashindano ya BBA ambayo Tanzania huwa "tunashiriki " na hao " wawakilishi" huwa wanaenda na bendera kabisa za taifa.
Matendo yanayofanyika huko ni hatari tupu, kwani kuna yule demu wa EATV aliliwa live huku dunia ikishuudia, hatukomi bado mwaka huu kaenda tena mwingine.
Na wakiwa kule wanatambulishwa kama mwakilishi wa Tanzania kabisa kama Taifa stars.
Sasa watanganyika wenzangu tutaendelea kushabikia huo utumbo hadi lini? au mpaka mwanaume agegedwe kule live ndo tutajifanya tunashtuka?
Shtuka na chukua hatua