sekekama-the king
Member
- Feb 20, 2021
- 5
- 15
Kule ni Eswatini mfalme ambako mfalme ana msimu wa kuoa kila mwaka sio BotswanaHivi tarehe za mfalme kujichagulia mke huwa nimiezi gani? Nataka kuja kutalii
Anawasogeza watu karibu, si unajua kuna wale wa kuomba connection? Ss hao ndo walengwaKwa nini umekimbilia kutueleza unatoka kwa wasatswana
Botswana hawana utaratibu huo. Wewe unaongelea Eswati..... Mfalme wa uswati....Hivi tarehe za mfalme kujichagulia mke huwa nimiezi gani? Nataka kuja kutalii