Habari zenu, natoka Botswana nawasalimu sana

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
23,689
2,000
Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums.

Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date.

Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to Johannesburg.

Nimeishi hapa miaka mingi sana na nimekuwa kama mzawa wa hapa.

Asanteni sana
Nitafutie mke hapo kwa mswati.
 
shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
633
1,000
Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums.

Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date.

Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to Johannesburg.

Nimeishi hapa miaka mingi sana na nimekuwa kama mzawa wa hapa.

Asanteni sana
..... wa botswana wabaguzi sana tena sana. Rudi bongo tujenge nchi
 
Dr. Wansegamila

Verified Member
Feb 3, 2012
2,260
2,000
Katika pitapita zangu rafiki yangu amenionyesha mtandao wa JamiiForums.

Nimeupenda sana kwa taarifa zenu ambazo ni up to date.

Nimejiunga nanyi leo natokea Gaborone Botswana Kl 350 to Johannesburg.

Nimeishi hapa miaka mingi sana na nimekuwa kama mzawa wa hapa.

Asanteni sana
Karibu sana kilingeni mkuu!!
Tunategemea makubwa saba kutoka kwako. Ni matumaini yangu kuwa utaweza kutushirikisha fursa zilizopo huko ambazo Watanzania tunaweza kuja na kufaidika, ikiwa ni pamoja na kutushirikisha ABCDs za nini kinahitajika na nini mtu anaetamani kuja huko (either for greener pastures, kusoma au fursa za kibiashara) ni nini haswa anatakiwa kufanya, wapi pa kupita, nini cha kuwa nacho, etc.
Karibu sana kilingeni kwa mara nyingine mkuu. sekekama-the king
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom