Habari za kusikitisha mzumbe university

we utakuwa umesoma academia tu,kwani hata sekondari haukuwahi kukutana na hayo??uliza walosoma PUGU,ndo tatizo la kusoma english medium,international skul,academy halafu chuo mnataka msome sawa na walotoka chipolopolo,cha msingi hama tu chuo nenda kasome na chuo cha hadhi yako ndugu hapo utateswa mpaka utakoma na hiyo bado trela picha linakuja

vijana wa pugu mnaongoza kwa fangas kiwandan, fikiria m2 black lakin ile ngoz ya naniliii imekuwa km umetumia karolaiti.
 
Mzumbe swala la kubebana kulikuwa hakuna,so kwa kijana kama huyu ambaye ni first year ana haki ya kushangaa,wakati kubebana imekuwa ni culture vyuo vingine,mzumbe hii mambo hakuna,so kwa mzumbe hizi ni habari za kutisha,LAKINI CHA AJABU VIONGOZI WA MZUMBE UNIVERSITY WAO WANAKAZANIA KUJENGA MABWENI YA WASICHANA TU NA KUJISIFIA KUWA WAO NDIO CHUO TZ CHENYE SERA NZURI KWA WASICHINA,
SIJUI WANATEGEMEA NANI ATAWAJENGEA MABWENI YA WAVULANA
 
Nafikiri ni vizuri tukamuelekeza mleta mada kwenda hata MABIBO HOSTEL akapata uzoefu japo kwa kuangalia na kuuliza!
 
Back
Top Bottom