Habari za asubuhi mmeamkaje ?

Habari za asubuhi mmeamkaje ?

so far nimekula ndizi mbivu,supu chapati,miwa na bagia na parachichi...so sili sana mkuu!

Unatengeneza Nyuklia huko tumboni kijana, Ukinywa na maziwa mgando tu afu ukatupia na yai lakuchemshwa, watu hawakai humo garini, maana mpaka dereva utambugudhi.
 
Mkuu nitonye, nyumba iko salama. Ila umeme umekata.

Una bifu na tanesco nini maana weekend kama hii wakizima umeme full kuboreka au luku imeisha?
 
Unatengeneza Nyuklia huko tumboni kijana, Ukinywa na maziwa mgando tu afu ukatupia na yai lakuchemshwa, watu hawakai humo garini, maana mpaka dereva utambugudhi.

Aisee hii safari yake itakuwa kero kwa wasafiri wenzie maana hali ya hewa itachafuliwa vibaya sana
 
Mi mzima shem, naona erick mwenyewe ameshakuja.. Nilimuacha kitandani.. I had to prepare breakfast.. Mzima wewe nitty?

mie mzima nilikumis sana usisahau na supu maana jana alipiga sana vyombo
 
Back
Top Bottom