Habari za asubuhi mmeamkaje ?

Habari za asubuhi mmeamkaje ?

Hivi mwenzetu unaweza concetrate kabisa kusali uku uko jf? Kusali sio kuingia mjengoni tu.

Unaweza kipindi kama cha kutoa sadaka mzuguko wa watu waote mpaka uishe tayari umesharusha rusha komment kama tano hivi
 
Unaweza kipindi kama cha kutoa sadaka mzuguko wa watu waote mpaka uishe tayari umesharusha rusha komment kama tano hivi


Nimekupata! kweli wewe ni moja ya ma addicts. inapendeza.
 
Back
Top Bottom