Waafrika ndivyo tulivyo, hata tukasome Havard sijui Oxford, hatubadiliki, ndivyo tulivyo.
Siku tunashuka Airport kurudi nyumbani tunakarudisha kale kaujinga ketu ambako kamelifanya bara letu liendelee kuwa maskini.
Nakubaliana na Nyani, sisi ndivyo tulivyo.
Ila kama mbunge wetu kaumwa kwasababu Chenge kanyunyizia dawa, hii ni kashfa kubwa sana kwa wana Kyela. Ina maana nguvu zetu ndogo sana na tumeshindwa kumlinda mheshimiwa wetu.
Iweje tuzidiwe na Wanyamwezi (Spika), Wahehe(Makinda), Wasukuma (Stela) na wengine? Iweje wao watoto wao washindwe kuathirika na hilo juju la msukuma Chenge?
Inabidi twende Malawi tukalitafuta lenye nguvu zaidi, next time mtatukoma! kwi kwi kwi!!!!!