Haya jamani hayawi hayawi yamekua ndio maana naipenda jf,hatimaye spika amekiri........................mafisadi mwaka huu mbaya kwenu
Mbunge 'amwekea' uchawi Mwakyembe
Kamera bungeni zamnasa 'akimwangia' kitini
*Spika, Naibu na wajumbe wa kamati nao wamo
*Mwakyembe azushiwa kifo, arejea Dar kuchunguzwa
Unajua hatukuamini macho yetu, tulishangaa sana kumwona Mheshimiwa huyo akiwa na mmoja wa maofisa wa Bunge wakiingia na kuweka vitu fulani kwenye kiti cha Dkt. Mwakyembe, Spika, Stela Manyanya, Naibu Spika, Anne Kilango-Malecela na baadaye kwenye viti vya baadhi ya wabunge.
Kilisema kitendo hicho kilimpa hofu kubwa pamoja na mwenzake waliyekuwa naye, hivyo kuamua kutoa taarifa hiyo kwa Spika.
Kwa kweli taarifa hizo zipo na zimezagaa hapa mjini, mimi mwenyewe nimesikitishwa sana na tayari vyombo vya usalama vimeanza kufanya uchunguzi juu ya suala hili. Hatuwezi kuacha hivihivi katika mazingira kama haya...ni matukio ya kijingajinga tu hivi, ila hatuwezi kuyaacha hivihivi, alisema Bw. Sitta.
QUOTE]
Hii ni aibu kwa taifa kama la Tanzania.
Take this event and extrapolate it...NA: Unapata kiini cha kwanini Albino wanauliwa, kwanini kijana kama yule aliyeshikwa muhimbili anakula kichwa cha mtu anakuwepo, unapata kwanini watu wanachunwa ngozi, unakuta kwanini kuna biashara ya vioungo vya vya binaadamu. VINAANZIA BUNGENI BILA MSWAADA KUPITISWHA RASMI. Au umepitishwa kichawi..who knows?
Kama viongozi wetu ndio wanafanya hivi, tena ndani ya nyumba ya bunge, Kwanini wananchi wasifuate nyayo? Tena kwa kishindo?
Tunataka baada ya uchunguzi kufanyaika ...
Huyo Mbunge Ajiuzulu mara moja. Ni mfano mbaya kwa Taifa, haijawahi kutokea. Ni kweli tupu kuwa huyo mbunge anachochea ushirikina...anaunga mkono kwa vitendo...mauaji ya vikongwe na fukuto kubwa la ushirikina linalolikumba Taifa kwa sasa.
JF lazima tushike banko na jambo hili...Mpaka tuone mwisho wake. Nchi haiwezi Kuongozwa kwa PRIMITIVE FORCES like this. Na sisi tukijivunia kuwa wananchi wake. This has to stop.
Bunge si mahali pakufanya na kuonyesha mifano mibovu kama hiyo.
BUT:
Kwa upande mwingine ni habari njema kwetu.
Tunapata mwanga na habari za kutosha kwa watu tunaopambana nao.
THEY ARE SIMPLY VERY PRIMITIVE CREATURES. Hizi sio enzi zao kabisa.
Kama silaha yao kubwa ya kuendeleza UFISADI ni kutumia Dark Forces they are done.
Somehow JF tunalazimishwa na hawa mafisadi waamini uchawi..kuanza kujadili mambo ya kutupotezea muda. But we have to..kwa maana ya kuelimishana na kuonyesha kwamba..Physics ya negative emotions its the antidote of such rabish. Simply usiupe woga, wasiwasi, mashaka and any other negative emotions... UCHAWI au tetesi kama hizo... And it will never work.
Dr Mwakyembe natumaini unapitia huku mara kwa mara vinginevyo msamaria mwema amplekee ujumbe huu muhimu. And If it works..Dr uje mwnyewe hapa na kutoashukrani kwa JF. Na kutupa moyo wa kuendela kulipelekataifa kunakotakiwa!
Wachawi and all primitive Dictators they know exactly how to use our negative emotions to empower themselves.
Muogope Mbwa ..na atakumaliza...
Muogope Dikteta au fisadi na atakufanya kitoweo...atakulipisha umeme juu, mafuta juu, kodi juu etc ...but kimya huna cha kufanya.
Na
Mugope mchawi na atakuendesha kwa ungo..kuelekea kusiko julikana.
The choise is yours!