Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

Nchi ambazo hazijaendelea tu ndio wanapenda hizo mambo za ruhusu ya kuonyesha baadhi ya taarifa. Ifike mahara tuvipe nguvu vyombo vyetu vya habari na uhuru waandishi wetu kuandika na kutoa habari.

Ningekuwa na uwezo ningependekeza vyombo vya habari viwe ni muhimiri mwingine wa nchi na usiingiliwe
 
Sasa ww kumbe ufikirii kabisa. Yan uombe ruhusa kuonyesha habari unazania nan atakubar kukuruhusu uonyeshe madudu yake?
Ina bidi wawe wanafanya hvyo hvyo ili kufichua uvembe unaofanyika
Nchi ni kubwa, kuna mambo mengi ya kuandika. Tatizo ni kufikiri kuwa habari ni kuandika juu ya mabaya tuuuuuuu. Tusilaumu stream media ati hazijui lolote jema kwa afrika
 
Back
Top Bottom