Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

Jizzy1

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
462
128
Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni natarajia kupata ushirikiano kutoka kwenu. Natanguliza shukrani, nawatakia baraka tele
 
...karibu Jizzy1,
lakini umeingilia mlango huu, si wa wageni,
rudi upite mlango wa mbele. (kwenye jukwaa ka wageni)

"Intro for new members"
 
...karibu Jizzy1,
lakini umeingilia mlango huu, si wa wageni,
rudi upite mlango wa mbele. (kwenye jukwaa ka wageni)

"Intro for new members"
Asante mkuu kbm, nadhani huu ugeni tuu, nashukuru kwa maelekezo. Heshima kwako mkuu
 
...jamani! Mbona wote mnamkaribisha tu! (mshaurini) Hamuoni kuwa mwenzenu kaingilia mlango wa wenye mahusiano?

...nakuomba "Jizzy1" urudi ukapitie... "JF Social Forums (Lounge)", jukwaa la "Utambulisho (Member Intro Forum)"

...sawa eh?
 
Asante mkuu kbm, nadhani huu ugeni tuu, nashukuru kwa maelekezo. Heshima kwako mkuu

...tuko pamoja mkuu!
"Kuku mgeni hakosi kamba mguuni..."

Kumbuka jogoo la shamba haliwiki mjini

...karibu mwanawitu,je umejiandaaje kukabiliana na MIKINGAMO pamoja na HOJA za wadau
 
Ameingia nyumba ya wenyeji wakati guest house zipo kibao na ameiongia mpaka chumbani wakati alitakiwa akae sebuleni Jizzy1 karibu sana ila hebu kakae kwanza sebuleni wenye nyumba wanavaa nguo
 
Last edited by a moderator:
...jamani! Mbona wote mnamkaribisha tu! (mshaurini) Hamuoni kuwa mwenzenu kaingilia mlango wa wenye mahusiano?

...nakuomba "Jizzy1" urudi ukapitie... "JF Social Forums (Lounge)", jukwaa la "Utambulisho (Member Intro Forum)"

...sawa eh?

Sasa wewe umuonyeshe njia ...
 
...tuko pamoja mkuu!
"Kuku mgeni hakosi kamba mguuni..."

Kumbuka jogoo la shamba haliwiki mjini

...karibu mwanawitu,je umejiandaaje kukabiliana na MIKINGAMO pamoja na HOJA za wadau
Mkuu kbm kwanza Nashukuru JF imenipatia Majibu ya maswali mengi sana kwani kupitia matatizo/changamoto za wadau Pamoja na majibu nimejifunza na kufaidika sana. Kuhusu changamoto nachukulia kwa mtazamo chanya na kutokana na tofauti zenu mbalimbali sitegemei tukubaliane kila jambo. Tukizingatia mantiki na kuheshimiana tutafika mkuu.
 
Back
Top Bottom