Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

Kama naniliu anaweza kugombea Urais kinyume na taratibu za chama hata wewe unaweza kuendesha chombo chochote cha moto bila leseni
 
Hivi nawezaje kutazama expiry date ya leseni yangu
 
Hivi nawezaje kutazama expiry date ya leseni yangu
Duh!Hii kali!

Mbona inaandikwa hapo kwenye madaraja yako ya leseni au una leseni ya kitu gani Chief?

Mfano
hahahkk.jpg
 
Kama unaleseni umeshindwa kujua unapaswa uende aina gani ya magari basi achana na hilo wazo utauwa watu
 
Back
Top Bottom