Habari njema?
Jina langu ni Alfredo, natoka Peru (South America) .
Ninajifunza kiswahili, tena nawaza kwamba forum hii ni nzuri sana!! naweza kusoma sana!!
Najifunza ushauri katika chuo kikuu hapa.... tena najifunza lugha nyingi (lugha 13)
Hmm...Huyo tu!!! Natarajia kukutana na watu wengi, "wapoa"... na kadhalika...
Bye