Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 451
Wakuu habari, ni imani yangu mnakumbuka ule uzi niliouweka hapa jukwaani siku chache na wengi wenu mlinipa ushauri mzuri.
Sasa na jambo hapa baada ya kupitia Mashauri yenu na Kwa sababu bado na mwaka mmoja wa kuwa chuoni, nime panga namna ya kutumia boom langu la mwaka wa tatu ili niweze kutoka na chochote kama ifuatavyo;
Kwa sababu boom hivi sasa ni laki sita
1. Kwenye Kila boom takata laki tatu na nusu Kisha taiweka fixed account
Hivyo baada ya boom nne takuwa nime savesave million moja na laki nne, ambazo naamin baada ya kumaliza chuo naweza anzisha ki biashara chochote.
Ambapo mm Nawaza kufanya biashara ya nafaka au vitenge
2.Pia mpango wangu wa kwenda south Africa nime sitisha.
3.Takuwa mbali na Wanawake.
4. Mwaka wa tatu tajibana ni tafuta Laki tano nimpe mama aanze biashara ya samaki ya yeye kama yeye.