Habari hii inaniuma sana

Shem kwa kweli jamaa hamnazo, kitendo cha kutumia kisu kumchana chana huyo dada hakuna sababu inayoweza kukubalika....! Demu akiamua kuruka na njemba nyingine shega tu...dawa yake unamjibu kwa demu mkali zaidi yake...lazima heshima irudi....Maisha yangeendelea kama kawaida.

Jamaa anakaa mabibo Hostel kule mademu hawana gharama na ni wakali ile mbaya...Yo Yo usiende huko! Ila sasa atajuta maisha yake yote na ujanja wa kufikiri akitumia m.b.o.........!
Huna deal shemeji...
 
Back
Top Bottom