Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Kama mtanzania anatengeneza helicopter inaruka na kutua safely halafu anapigwa marufuku na idara ya serikali yaani serikali kuendelea na innovation yake halafu wazungu wanamtembelea, na kumwalika kwenye kiwanda chao.
Waziri mwenye dhamana na science na technolojia yuko wapi? Anawaza GPA na Division tu? Waziri wa viwanda yupo wapi? Hivi haelewi kuwa huu ndio mwanzo wa kuwa na viwanda vya helikopta nchini?
Kama wangelijua kuwa hizo helikopta nchini zingetatua matatizo makubwa ya wananchi wasingekubali huyu jamaa akutane na hawa wazungu, mfano, air lifting za wagonjwa vijijini, uokoaji, ulinzi, na kwenye vita.
Sasa kama jamaa atawaambia utaalamu wake na jinsi alivyotengeneza hio kitu basi Tanzania hii kuendelea ni kazi sana. Kwanza alitakiwa kuelimishwa kuwa utaalamu huo alionao ni 'classified' sio wa kumwambia mtu na serikali ingesaidia kuifadhi hazina hiyo. Sasa helikopta ya jamaa itanunuliwa na Tanzania kwa mikopo ya kuongeza umasikini.
Waliopewa dhamana hii sijiui wako wapi in terms of their minds.
Great nations zinatokana na great people ambao ni wachache sana na ni bidhaa hadimu mno!
Source: Wazungu wamtembelea mtengenezaji helikopta Tunduma