Umemjibu vizuri, inasikitisha sana kuona watu wana mawazo mgando na roho mbaya kiasi hiki, kwa namna hii tutasubiri sana.Wewe ni mtu mweusi halisi,watu weupe wanayajua hayo yote uliyobwabwaja na bado wakaja kuangalia ubunifu yet hawakuridhika na kuishia kuangalia ,wakampa na mwaliko kabisa ,
Swali rahisi :- Kati yako wewe na hawa wazungu waliokufundisha hicho ulichokariri ,nani mwenye akili ...!!???
Hii ni roho mbaya,mijitu kama nyinyi ndio mliojaa huko TCCA,elimu ya kuungaunga,umeiba nafasi za watu lakini hata hiyo 1+1=2 uliojifunza bado huwezi kuitumia maana ungelijua usingelifikia hatua hii.
Kwani nani dunia ya leo anatengeneza ndege mpya kwa maana ya jet system zaidi ya kufanyia marekebisho kile walichobuni. WRIGHT BROTHERS ,
Utakufa kwa roho mbaya,mnfyuuuuuuuuuu....!!!!
Tena ukifa,ukafie mbali usije kuwapa watu shida ya kufukia mzoga wako.
Ntajie Hao wenye elimu wana nini cha ziada?hata kuunda gari toy hawawezi.....hii ndiyo shida ya wasomi kusoma kwa kukariri....Tupende kusoma kwanza, elimu ndio utatufikisha mbali... bila shule ubunifu na uvumbuz wetu utakuwa huu wa kuunga unga vipisi vya skrepa na nondo
Eti vipisi vya skrepa,acha dharau dogoTupende kusoma kwanza, elimu ndio utatufikisha mbali... bila shule ubunifu na uvumbuz wetu utakuwa huu wa kuunga unga vipisi vya skrepa na nondo
Kama mtanzania anatengeneza helicopter inaruka na kutua safely halafu anapigwa marufuku na idara ya serikali yaani serikali kuendelea na innovation yake halafu wazungu wanamtembelea, na kumwalika kwenye kiwanda chao.
Waziri mwenye dhamana na science na technolojia yuko wapi? Anawaza GPA na Division tu? Waziri wa viwanda yupo wapi? Hivi haelewi kuwa huu ndio mwanzo wa kuwa na viwanda vya helikopta nchini?
Kama wangelijua kuwa hizo helikopta nchini zingetatua matatizo makubwa ya wananchi wasingekubali huyu jamaa akutane na hawa wazungu, mfano, air lifting za wagonjwa vijijini, uokoaji, ulinzi, na kwenye vita.
Sasa kama jamaa atawaambia utaalamu wake na jinsi alivyotengeneza hio kitu basi Tanzania hii kuendelea ni kazi sana. Kwanza alitakiwa kuelimishwa kuwa utaalamu huo alionao ni 'classified' sio wa kumwambia mtu na serikali ingesaidia kuifadhi hazina hiyo. Sasa helikopta ya jamaa itanunuliwa na Tanzania kwa mikopo ya kuongeza umasikini.
Waliopewa dhamana hii sijiui wako wapi in terms of their minds.
Great nations zinatokana na great people ambao ni wachache sana na ni bidhaa hadimu mno!
Source: Wazungu wamtembelea mtengenezaji helikopta Tunduma
Hivi ni kitu gani ushawahi kubuni?Nyie ndiyo mliyojaa na roho za korosho...tuIle Chopa haikuwahi kuruka hata cku moja! jamaa alitengeneza sanamu la helicopter na c helicopter inayoweza kupaa..
Serikali imefanya la maana sana kumpiga marufuku, maana anaonekana ni mgonjwa wa akili mwenye kuleta mzaha na taaluma za wat
u.
Umenena...Tupende kusoma kwanza, elimu ndio utatufikisha mbali... bila shule ubunifu na uvumbuz wetu utakuwa huu wa kuunga unga vipisi vya skrepa na nondo
Sisi tumelaaniwa
Umesema kweli mkuu
Jana kupitia TBC nilimuona jamaa Kaunda injini ya pikipiki
Kiukweli aliongea mambo mengi na mazuri.
Tanzania tuna vijana wazuri
Zaidi ya wale wanaotumika kupewa Viroba na kuropoka hovyo mitandaoni.
Serikali iwa angalie watu wenye ubunifu wao