Habari hii haijanifurahisha kabisa

Habari hii haijanifurahisha kabisa

Je umesahau Yule alotengeneza gari tena hakuna kituo cha khabari kilichotngaza Tanzania.lkn TV ya Kenya ndo ilomfuata na kumhoji
 
Tupende kusoma kwanza, elimu ndio utatufikisha mbali... bila shule ubunifu na uvumbuz wetu utakuwa huu wa kuunga unga vipisi vya skrepa na nondo
Mkuu hai maprofeseli wamelisaidia nini taifa na madgrii yao
 
Mkuu hai maprofeseli wamelisaidia nini taifa na madgrii yao
Ungekuwa na degree hata moja uSingeniuliza swali kama hilo.. Sidhani kama natakiwa kujibishana na mtu anayehisi wasio soma ndio wanamsaada kwa taifa...
 
Kimbe ilipaa na kitua safely eeenhh?!!
Hongera sana Tanzanoa kama alili za vijana wako ndio hizi.

Hivi hii nchi inahitaji uvumbuzi wa helcopter baala ya tractor?!!
Hata kama atasaidiwa, atauza unit ngapi na kwa nani?!!

Alafu Watanzania, hivi kurusha helcopter imekuwa rahisi hivi?!!

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ungekuwa na degree hata moja uSingeniuliza swali kama hilo.. Sidhani kama natakiwa kujibishana na mtu anayehisi wasio soma ndio wanamsaada kwa taifa...

Kaka kama mtu hajajua changamoto za kutengeneza kitu kinachohitaji taknolojia ya jui, daima ataona kama unawatetea wasomi.
Wao wakiambia fulani katengeneza nini sijui, wanapiga makofi na kushangilia.
Helcopter sio cabin na mapanga pekee.
Hivi vitu vinataka ujuzi wa aerodynamics. Na huo sio mchezo.
 
Ungekuwa na degree hata moja uSingeniuliza swali kama hilo.. Sidhani kama natakiwa kujibishana na mtu anayehisi wasio soma ndio wanamsaada kwa taifa...
Mkuu una visibitisho sina degree but usually binafsi naheshimu wabunifu either wamesoma au hawakusoma kuna ma autodidacts weng kama sir isaac newton alifundishwa na nani mr einstein robert na archemedes wote ni wabunifu na serikal zao ziliwapa sapoti mkuu mm degree yangu natumia kujiajiri na biashara zangu sio kuzarau wasio nazo degree ova
 
Kama mtanzania anatengeneza helicopter inaruka na kutua safely halafu anapigwa marufuku na idara ya serikali yaani serikali kuendelea na innovation yake halafu wazungu wanamtembelea, na kumwalika kwenye kiwanda chao.

Waziri mwenye dhamana na science na technolojia yuko wapi? Anawaza GPA na Division tu? Waziri wa viwanda yupo wapi? Hivi haelewi kuwa huu ndio mwanzo wa kuwa na viwanda vya helikopta nchini?

Kama wangelijua kuwa hizo helikopta nchini zingetatua matatizo makubwa ya wananchi wasingekubali huyu jamaa akutane na hawa wazungu, mfano, air lifting za wagonjwa vijijini, uokoaji, ulinzi, na kwenye vita.

Sasa kama jamaa atawaambia utaalamu wake na jinsi alivyotengeneza hio kitu basi Tanzania hii kuendelea ni kazi sana. Kwanza alitakiwa kuelimishwa kuwa utaalamu huo alionao ni 'classified' sio wa kumwambia mtu na serikali ingesaidia kuifadhi hazina hiyo. Sasa helikopta ya jamaa itanunuliwa na Tanzania kwa mikopo ya kuongeza umasikini.

Waliopewa dhamana hii sijiui wako wapi in terms of their minds.

Great nations zinatokana na great people ambao ni wachache sana na ni bidhaa hadimu mno!

Source: Wazungu wamtembelea mtengenezaji helikopta Tunduma
Nilisoma habari hiyo nilihuzunika sana,tena ukizingatia vigezo na sheria walizotumia kumpiga marufuku mbunifu huyu wa kitanzania zoote ni copy za wamagharibi! Bila kuwa na wasimamizi wa idara za serikali wenye maono daima tutakufa masikini kwa kuzilinda na kuzitekeleza amri za mkoloni! Miaka ile ya ukoloni physicaly watalaamu wetu walinyongwa,walikatwa mikono na kutobolewa macho,leo wamekabidhi mamlaka zetu sheria zao za kupiga marufuku wataalamu na wanasayansi wetu na wasimamizi hao wanawatii kweli kweli! Ifike wakati muwapuuze ili tuwe na vyakwetu na hii ndio tutaelekea kuwa inchi ya viwanda! Na ndio kazi itafanyika kwa minajili ya hapa kazi tu! Mtu anabuni chanzo cha ajira wewe unakimbilia faili la vigezo na sheria za mabwana wakubwa kumzuia!!? Hata MUNGU hajapendezwa na ujinga uliofanywa na idara husika
 
Aliyekwambia huyu mbuNifu nani wewe?? Kabuni nini?? Una ushahidi kuwa amebuni au amecopy??
 
Aliyekwambia huyu mbuNifu nani wewe?? Kabuni nini?? Una ushahidi kuwa amebuni au amecopy??
Ndugu maswali uliyoniuliza yoote yamebeba majibu ya swali uliloniuliza! Kwa ufupi umegeuza majibu kuwa maswali
 
Mwingine ametengeneza gari. Kitu cha ajabu CITZEN TV ya Kenya imetangaza habari zake na kumhoji. Lakini hakuna chombo hata kimoja cha habari kilichotoa hiyo taarifa hapa Tanzania zaidi ya JAMII FORUM.
 
Tanzania Tanzaniaaa nakupenda kwa moyo woteee.....!!! Nchi ya maneno mengi vitendo sifuri au vya kimihemkohemko tu !!!!!!
 
Back
Top Bottom