stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,887
- 27,528
Tunajua kama tunagegedewa hawa watu hawachungiki mkuu MCHUNGUZI HURU,ukimzuia gym wanakula walinzi home,ukizuia home wanakula sokoni,ukizuia sokoni wanakula ofisini tena wengine mpaka wanagegedwa kwenye lifts za magorofa pale town au hata ndani ya magari si unajua magari yetu ya siku hizi yana viti vya kulaza yaani balaa tupu,anyway tunashukuru tu kwa alert.Hapa mjini kila kitu na kila sehemu watu wanatumia kama fursa ya kugegedana, iwe saloon, iwe massage parlours... nk
Vijana wa mujini siku hizi wanagegeda wake zenu kwenye GYM, mke wako anaondoka asubuhi saa kumi na moja anachukua gari anasema anaenda gym kupunguza mwili kumbe anaenda kugegedwa.
Akifika mapemaaaaa, anagegedwa akimaliza anakuwa mwepesi, anachukua gari anarudi nyumbani.
Mda huo bado baba naniu umelala tu kitandani.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Last edited by a moderator: