little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
we endelea kujiamini..... mjini hapa mkuu... binadamu siku zote ka mbuzi ... ndo mana kuna sheria za kila aina watu wakae katika njia sawa...Huupendi huo ukweli kwa kuwa hujiamini. Sisi tunaojiamini tunafahamu kuwa mwanamke hachungwi.